Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SALUM MKAMBALA WA CHANNEL TEN APATA AJALI YA GARI

Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publishers.info, Mkambala alipata ajali hiyo maeneo ya Chalinze alfajiri ya leo na hali yake inaelezwa kuwa ni mahututi baada ya kuumia vibaya. Haijafahamika yuko hospitali gani kwani alikuwa peke yake kwenye gari na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK amjulia hali mpiganaji Salum Mkambala wa channel ten leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM mpiganaji Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa ya MOI leo katika Hospitali ya Taifa muhimbili anakotibiwa majeraha baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

GPL

CHANZO CHA AJALI YA SALUM MKAMBALA CHATAJWA

Mtangazaji wa Channel  Salumu Mkambala, akipelekwa Theatre katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha, Pwani. Msanii wa kundi la Mizengwe, Hemed Maliyaga (wa kwanza kulia) akisaidiana na ndugu pamoja na mke wa Mkambala (wa tatu kushoto) kumpeleka mgonjwa Theatre.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage apata ajali ya gari

MWENYEKITI wa Simba aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, jana amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya agari eneo Chigongwe, nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akiingia mjini humo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bahati Bukuku apata ajali ya gari

MWIMBAJI maarufu wa muziki wa Injili nchini, Bahati Bukuku, amepata ajali ya gari akiwa njiani kuelekea Kahama katika tamasha la muziki wa Injili. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Madamotto live kesho channel ten

Streaming is coming  soon

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfanyabiashara wa madini apata ajali mbaya ya gari lake iliyopelekea kupasuka kichwa na kufariki papo hapo, kisa mwendo kasi

gari

Gari lililokuwa limebeba mwili wa mfanyabiashara wa madini ya Coper Henrico Kairuki likiwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.

Na Hillary Shoo, MKALAMA.

Mfanyabiashara wa madini aina ya Shaba Mkoani Singida amefariki dunia papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo alilokuwa akiendesha kuacha njia na kisha kupinduka mara tatu.

Ajali hiyo mbaya imetokea katika kijiji cha Gumanga Tarafa ya Nduguti Wilayani Mkalama majira ya saa 9:00 alasiri na kulihusisha gari dogo aina ya...

 

10 years ago

Michuzi

Kipindi cha mada moto chaanza rasmi channel ten

Kipindi cha mada moto kimeanza rasmi kupitia Channel Ten.Kwa wanaotaka kukiangalia wanaweza kwa kuingia kwenye tovuti ya ww.madamottotvshow.com. kipindi hiki ni live kinarushwa kila jumatau, jumatano na ijumaa saa nne usiku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani