Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK amjulia hali mpiganaji Salum Mkambala wa channel ten leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM mpiganaji Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa ya MOI leo katika Hospitali ya Taifa muhimbili anakotibiwa majeraha baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita Picha na Freddy Maro

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SALUM MKAMBALA WA CHANNEL TEN APATA AJALI YA GARI

Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye ameidokeza Global Publishers.info, Mkambala alipata ajali hiyo maeneo ya Chalinze alfajiri ya leo na hali yake inaelezwa kuwa ni mahututi baada ya kuumia vibaya. Haijafahamika yuko hospitali gani kwani alikuwa peke yake kwenye gari na...

 

11 years ago

GPL

CHANZO CHA AJALI YA SALUM MKAMBALA CHATAJWA

Mtangazaji wa Channel  Salumu Mkambala, akipelekwa Theatre katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha, Pwani. Msanii wa kundi la Mizengwe, Hemed Maliyaga (wa kwanza kulia) akisaidiana na ndugu pamoja na mke wa Mkambala (wa tatu kushoto) kumpeleka mgonjwa Theatre.…

 

11 years ago

Michuzi

JK amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Michuzi

Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo

Waziri mkuu mstaafu  na mbunge wa Monduli Mh edward Lowassa akimjulia hali leo hii askofu mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Bishop Gwajima.

 

10 years ago

Vijimambo

Madamotto live kesho channel ten

Streaming is coming  soon

 

10 years ago

Michuzi

Kipindi cha mada moto chaanza rasmi channel ten

Kipindi cha mada moto kimeanza rasmi kupitia Channel Ten.Kwa wanaotaka kukiangalia wanaweza kwa kuingia kwenye tovuti ya ww.madamottotvshow.com. kipindi hiki ni live kinarushwa kila jumatau, jumatano na ijumaa saa nne usiku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani