Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msiba: MWESIGWA BLANDESI AFARIKI DUNIA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI

Familia ya Mwesigwa inapenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na misa ya kumuaga mpendwa wao Mwesigwa Blandesi itakayofanyika siku ya Jumamosi May 31,2014 kuanzia saa Nane na nusu mchana mpaka saa kumi na moja na nusu jioni(2:30-5:30pm) katika Kanisa la "Resurrection Lutheran Church", 397 Euclid Avenue, Oakland California 94610.
Baada ya misa kutakuwa na mkusanyiko wa ndugu jamaa na marafiki wote kwenye ukumbi wa "Resurrection Lutheran Church"  katika kusheherekea maisha na kumbukumbu ya...

 

11 years ago

Michuzi

FAMILIA YA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI YATOA SHUKRANI


Wapendwa Jamaa, marafiki na Watanzania wenzetu kwa ujumla,

Familia ya Marehemu Mwesigwa Blandesi kwa pamoja na familia ya Byorwango hapa California,Tunapenda kutoa shukrani za dhati  naza kipekee kwa wote mlioshiriki kikamilifu katika njia zote za mwanzoni mpaka mwishoni mwa maisha ya marehemu Blandesi Mwesigwa aliyefariki May 26 2014.
Tunashukuru mengi, kuanzia, mchango ya matibabu, ushirikiano wa kuuguza, sala, mawazo, na kuwa pamoja na kwa ukaribu katika shughuli zote za msiba mojawapo...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a enzi za uhai wake . Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda...

 

11 years ago

GPL

MSIBA: MCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA!

Sudi Mohamed, 'MCD' (pichani, juu na chini) ambaye ni mpinga tumba maarufu nchini Tanzania amefariki dunia usiku huu akiwa Moshi ambako alikwenda kwa ajili ya matiabu zaidi yapata miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Meneja Hassani, MCD alipelekewa nauli ya kurudi jijini Dar esalaam leo ili arejee kesho lakini mauti yakamfika usiku mida ya saa tano na nusu. MCD amewahi kupiga katika...

 

11 years ago

GPL

MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!

Maximilian Ngube 'Max', enzi za uhai wake. Max (kushoto), akiwa katika moja ya kazi zake enzi za uhai wake. Kulia ni mwanahabari mwenzake. Mpiga picha mkongwe wa Televisheni, Maximilian Ngube 'Max' amefariki dunia leo, Ijumaa Mei 23, 2014, jijijini Dar es salaam. Habari zilizothibitishwa na ndugu wa karibu wa marehemu zimesema kuwa msiba uko nyumbani kwa marehemu Boko, jijini Dar na mipango ya mazishi inafanyika ambapo tarehe...

 

10 years ago

GPL

MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA

Ben Kiko enzi za uhai wake. ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...

 

10 years ago

GPL

MSIBA TENA: MSANII SHERRY MAGALI AFARIKI DUNIA!

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry  Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014. Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi…

 

9 years ago

Michuzi

MSIBA: HERBERT ANDREW MAGATALA MASANJA AFARIKI DUNIA

Ndugu Norbert Abel Masanja anasikitika tutangaza kifo cha kaka yake Herbert Andrew Magatala Masanja (pichani) kilichitokea Jana katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo jijiji Dar es salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika katika Makaburi ya Mbweni baada ya Misa ya itayofanyika  katika kanisa la KKKT Usharika wa Boko kesho Jumamosi Novemba 28, 2015 kuanzia saa nane mchana. Msiba upo Boko njia ya kuelekea Ndege Beach. Kwa mawasiliano zaidi piga 0767406661 na 0788 406661


 

10 years ago

Michuzi

tangazo la msiba: Dkt Kansolele Ntevi afariki dunia

IMG-20141025-WA0035
Familia ya Ntevi inapenda kutangaza kifo cha Mpendwa wao  Dkt Kansolele Ntevi kilichotokea ghafla tarehe 22/10/2014 jijini Dar es salaam.  Habari ziwafikie ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote popote pale walipo. Mazishi yanatarajiwa kufanyika jumatatu Tarehe 27/10 / 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam. 
Kutakuwa na ibada ya kuuaga mwili wa mpendwa wetu marehemu Dr. Kansolele Ntevi nyumbani kwake maeneo ya Kunduchi baada ya chuo cha jeshi njiapanda ya Madini, barabara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani