Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA YA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI YATOA SHUKRANI


Wapendwa Jamaa, marafiki na Watanzania wenzetu kwa ujumla,

Familia ya Marehemu Mwesigwa Blandesi kwa pamoja na familia ya Byorwango hapa California,Tunapenda kutoa shukrani za dhati  naza kipekee kwa wote mlioshiriki kikamilifu katika njia zote za mwanzoni mpaka mwishoni mwa maisha ya marehemu Blandesi Mwesigwa aliyefariki May 26 2014.
Tunashukuru mengi, kuanzia, mchango ya matibabu, ushirikiano wa kuuguza, sala, mawazo, na kuwa pamoja na kwa ukaribu katika shughuli zote za msiba mojawapo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI

Familia ya Mwesigwa inapenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na misa ya kumuaga mpendwa wao Mwesigwa Blandesi itakayofanyika siku ya Jumamosi May 31,2014 kuanzia saa Nane na nusu mchana mpaka saa kumi na moja na nusu jioni(2:30-5:30pm) katika Kanisa la "Resurrection Lutheran Church", 397 Euclid Avenue, Oakland California 94610.
Baada ya misa kutakuwa na mkusanyiko wa ndugu jamaa na marafiki wote kwenye ukumbi wa "Resurrection Lutheran Church"  katika kusheherekea maisha na kumbukumbu ya...

 

11 years ago

GPL

FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA SHUKRANI JIJINI DAR‏

Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100), aliyeaga dunia Ijumaa ya tarehe 17 January,2014 katika hospitali ya Mount Ukombozi na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 19 January, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Familia ya Mzee Arnold Kambonapani...

 

9 years ago

Michuzi

SHUKRANI FAMILIA YA MCHECHU

New PictureFamilia ya marehemu Dr. John Edward Mchechu wa Ukonga Dar es salaam wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nao na kuwafariji kwa hali na mali katika kumuuguza na mpaka kumlaza katika nyumba ya milele mpendwa baba yao Dr. John Edward Mchechu aliyefariki tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga na kuzikwa tarehe 26/07/2015 Muheza, Tanga.Shukrani za pekee zimfikie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. JakayaMrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk....

 

10 years ago

Vijimambo

Shukrani toka kwa familia ya Francisca Mwaluli

Kwa niaba ya Francisca Mwaluli na Kwa niaba ya Famila ya Mzee
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya  msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi   kigumu kinachowakabili.


Hana cha kuwalipa  zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi kuwa na ushirikiano katika kila jambo.

Ahsanteni...

 

11 years ago

Habarileo

Familia ya marehemu yapagawa mtuhumiwa kutofikishwa kortini

FAMILIA ya marehemu Chacha Silas (59), mkazi wa kitongoji cha Bumangi, kijiji cha Wegero, wilaya ya Butiama, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha jeshi la polisi wilayani humo, kutomfikisha mahakamani mtuhumiwa wa mauaji ya ndugu yao kwa kutumia rungu, wakiwa kwa mwanamke waliyekuwa wanamchukua kimapenzi wote wawili.

 

11 years ago

Michuzi

CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JANA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika jana katika kata 27 na CCM kushinda kata 23. 
Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema leo kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Nape alisema CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA

Rais wa Jakaya kikwete na Mama Salma Kikwete watoa pole na Kuifariji Familia ya Mbunge wa Mbinga magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwake Mbezi Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani