SHUKRANI FAMILIA YA MCHECHU
Familia ya marehemu Dr. John Edward Mchechu wa Ukonga Dar es salaam wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nao na kuwafariji kwa hali na mali katika kumuuguza na mpaka kumlaza katika nyumba ya milele mpendwa baba yao Dr. John Edward Mchechu aliyefariki tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga na kuzikwa tarehe 26/07/2015 Muheza, Tanga.Shukrani za pekee zimfikie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. JakayaMrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi09 Sep
SHUKRANI TOKA KWA MR. & MRS. NEHEMIAH MCHECHU

Familia ya marehemu Dr. John Edward Mchechu wa Ukonga Dar es salaam wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nao na kuwafariji kwa hali na mali katika kumuuguza na mpaka kumlaza katika nyumba ya milele mpendwa baba yao Dr. John Edward Mchechu aliyefariki tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga na kuzikwa tarehe 26/07/2015 Muheza, Tanga.Shukrani za pekee zimfikie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. JakayaMrishoKikwete,MakamuwaRais,Dk. Mohamed...
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete aifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam julai 23, 2015 kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.
Marehemu atasafirishwa kuelekea Muheza, Tanga kwa ajili ya Mazishi. Mazishi yatafanyika Kijiji cha Enzi, Muheza – Tanga siku ya Jumamosi tarehe 25/07/2015.(PICHA ZOTE NA KIKOSIKAZI CHA...
10 years ago
Vijimambo03 Aug
Shukrani toka kwa familia ya Francisca Mwaluli
Benedict Mwaluli wanapenda kutoa shukrani zao za pekee kwenu ndugu na jamaa wote wa New England kwa kuwa pamoja nae kwa hali
na mali katika maombolezo ya msiba wa mpendwa mwanawe
Kevin Linus Kaenga, kwani ni kipindi kigumu kinachowakabili.
Hana cha kuwalipa zaidi ya kuomba Mwenyezi Mungu azidishe baraka zake kwenu kwa yote mnayotamani. anawashukuruni sana na muzidi kuwa na ushirikiano katika kila jambo.Ahsanteni...
11 years ago
Michuzi
FAMILIA YA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI YATOA SHUKRANI

Wapendwa Jamaa, marafiki na Watanzania wenzetu kwa ujumla,
Familia ya Marehemu Mwesigwa Blandesi kwa pamoja na familia ya Byorwango hapa California,Tunapenda kutoa shukrani za dhati naza kipekee kwa wote mlioshiriki kikamilifu katika njia zote za mwanzoni mpaka mwishoni mwa maisha ya marehemu Blandesi Mwesigwa aliyefariki May 26 2014.
Tunashukuru mengi, kuanzia, mchango ya matibabu, ushirikiano wa kuuguza, sala, mawazo, na kuwa pamoja na kwa ukaribu katika shughuli zote za msiba mojawapo...
11 years ago
GPL
FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA SHUKRANI JIJINI DAR
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Mchechu: Watanzania ni vigeugeu
11 years ago
Michuzi
Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

10 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...