Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha FAMILIA. Siku ya wanawake duniani

Photo Credits: happyholidays2014.com Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Kipindi hiki kilirushwa moja kwa moja (live) Jumamosi Machi 8, 2014 Katika kipindi cha wiki hii, mjadala ulijikita zaidi katika SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ambapo wageni Mary Ndaro akiwa Wichita Kansas na Mch. Tumaini Mwanyonga  walijadili kwa mapana suala hili. Wamegusa mengi mema ambayo ni muhimu kuyasikiliza.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'

Familia ya Hayati Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu Mandela Kufariki Alhamisi na kuelezea kuwa katika kipindi kigumu

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO AFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA FAMILIA

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Mhe.Dkt  Pindi Chana (Mb) akiangalia baadhi ya machapisho yanayohusiana mbinu za malezi na makuzi ya watoto kabla ya kufungua semina ya siku mbili ya matokeo ya utafiti wa malezi na makuzi ya familia nchini iliyofanyika Hotel Protea Courtyard, jijini Dar es salaam.Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii  Jinsia na Watoto  (Mhe. Dkt  Pindi Chana (Mb) akifungua rasmi   Kongamano la siku mbili la wadau wa familia wanaokutana kupokea matokeo ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Joyce Elias msichana albino anayekabiliana na changamoto za familia na jamii kufikia malengo yake

Joyce Elias Simon ni binti wa miaka 13 mwenye ulemavu ya ngozi , ni binti wa kitanzania ambaye maisha yake kwa ujumla na safari yake ya elimu ilijawa na misukosuko.

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BAJETI YAELEZA ILIVYOKUWA IKIWASILISHA MAOMBI KWA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KUOMBA KUONDOLEWA USHURU KWENYE CHUPA ZA MVINYO

Na Said Mwishehe, Michuzi TV 
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Mashimba Ndaki amesema kwa miaka mitano sasa kamati hiyo imekuwa ikiwasilisha maombi serikalini ya kuondoa ushuru wa bidhaa kwa chupa zinazotumika kwa ajili ya kufungashia mvinyo unazalishwa nchini.
Akizungumza leo Juni 15,2020 Bungeni Mjini Dodoma Ndaki amesema kwa sasa chupa zinazoingizwa nchini zinatozwa ushuru wa bidhaa kwa asilimia 25, pamoja na tozo nyingine za serikali na hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO



 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

BBCSwahili

Saudi Arabia yawakamata wanawafalme watatu wakuu kutoka familia hiyo

Hatua hiyo inaonesha kuthibitisha kukamatwa kwa makumi ya wanawafalme kama ilivyoagizwa na mwanamfalme Mohammed bin Salman mwaka 2017.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani