Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA FAMILIA DAY YAFANA ,MGODI WA DHAHABU WA BUZWAGI GOLD MINE

 Moja wa  wa watoto wa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu Desdery kweyuna akepewa maelezo toka kwa Dr wilfred kaizerege juu ya huduma za afya kwa wafanyakazi wa mgodi huo Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya mwenye suti akikaribishwa na meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu katika siku ya familia day ya mgodi huo.
 Afisa mahusiano wa mgodi wa dhahabu wa buzwagi blandina mughezi mweye miwa,huku meneja wa mgodi huu Filbert Rweyemamu akipokea mkuu wa wilaya ya kahama .
 Mzee karibu sana

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Sherehe za Siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Kunduchi.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kulia mstari wa nyuma) na Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu wa benki hiyo, Dorah Ngaliga wakiwa katika picha ya pamoja na watoto waliohudhuria tamasha la ‘Family Day’ lililowashirikisha wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao. Tamasha hilo lilifanyika Kunduchi Wet 'N'...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) pamoja na familia zao waukaribisha mwaka 2015

01

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia  kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach wakati wa siku ya family Day  iliyowahusisha wafanyakazi na familia zao.

005

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia  kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach ikiwa ni sehemu ya shamlashamla za family day iliyowahusisha wafanyakazi na familia zao.

0003

Kaimu Mmkurugenzi wa Mamlaka ya usafiri wa anga...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) PAMOJA NA FAMILIA ZAO WAUKARIBISHA MWAKA 2015 KWA MICHEZO

Kaimu Mmkurugenzi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha akimkabidhi zawadi Khamis Mussa baada ya kuibuka mshindi wa kukimbia wakati wa siku ya familia ya wafanyakzi wa mamlaka hiyo iliyofanyika katika hoteli ya kunduchi beach jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach wakati wa siku ya family Day iliyowahusisha wafanyakazi na familia zao.Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO



Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB


 Watoto wakifurahia michezo mbalimbali   katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja. Malindi band ya mkoani kilimanjaro ikitumbuiza sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za wateja.Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la USA akikabidhi zawadi kwa mtoto.
KWA PICHA...

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBANET YAFANYA SIKU YA FAMILIA

 Kampuni ya SimbaNET (T) Linited ya jijini Dar es Salaam Jumamosi hii iliandaa bonanza la michezo lililowakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni hiyo na familia zao. Siku hiyo ilikuwa ni ya kula kunywa na kuchezo michezo ya aina mbalimbali ikiwepo soka, kuvutana kamba, kuogelea, muziki na michezo mbalimbali ya watoto. Kampuni ya Seree ndio walikuwa waandaaji wa tafrija hiyo iliyofanyika kwa mafanikio makubwa katika ufukwe wa Hoteli ya Bahai Beach.    wafanyakazi na familia zao...

 

10 years ago

Mtanzania

Mgodi wa Buzwagi kufungwa

Na Fredrick Katulanda, Mwanza

MAKAMU wa Rais wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia, Deo Mwanyika, amesema mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga utafungwa kutokana na uzalishaji kushuka.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwanyika alisema mashapo ya dhahabu ya mgodi wa Buzwagi yana uwezo wa kutoa Ounce 900,000 ya dhahabu yenye ubora wa gramu 1.35 kwa tani hivyo kudumu kwa kipindi cha miaka mitano.
Alisema kutoka na hali hiyo, uongozi wa Kampuni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani