MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline. Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua.
Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVJItBi93k*KuI-sYBeHz0ux4-IFR8tAZ1vq6Vz7FU3pu1VR2ON0Lp8*7ftBKaC2LsQx225wNHLqdrEsR*5SJwyO/unnamed54.jpg?width=650)
TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) YATOA RAMBIRAMBI KWA MWANAHABARI WA FAMILIA YA WATU SITA WALIOFARIKI KWA AJALI YA MOTO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oXwaCHOQje0/VNryTtNk56I/AAAAAAAHC_I/bQkZXz-nkT4/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Tanzania bloggers network (TBN) yatoa rambirambi kwa mwanahabari wa familia ya watu sita waliofariki kwa ajali ya moto
![](http://1.bp.blogspot.com/-oXwaCHOQje0/VNryTtNk56I/AAAAAAAHC_I/bQkZXz-nkT4/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
10 years ago
CloudsFM11 Feb
Makamu wa rais, Dk. Bilal ahudhuria mazishi ya ndugu sita waliokufa kwa ajali ya moto Dar.
MAKAMU wa Rais, Dk. Gharib Bilal leo amewaongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika mazishi ya watu sita wa familia moja waliofariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea wiki iliyopita huko Kipunguni jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo yamefanyika leo katika makaburi ya Airwing, Keko jijini Dar e s Salaam huku yakiuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama na serikali, taasisi na makampuni binafsi.
Akizungumza kwa huzuni wakati akiwapa pole ndugu, majirani, marafiki...
9 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AITEMBELEA NA KUIFARIJI FAMILIA ILIYOPOTEZA WATU TISA KATIKA AJALI YA MOTO BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IR6j1-Mhm*XN3OFHTPhZW0SIR2YLjYg8hcJmMxtkIZVdz-WGkrs57sj6DfZT7C7Le2AoY8iIpWOGHMicPPFfNI-NIAimhPwf/uchira.jpg?width=650)
WATU SITA WAJERUHIWA KATIKA AJALI KILIMANJARO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XIbwni2OPnA/VJiURzEbUXI/AAAAAAAG5IY/XlIu69ch3kA/s72-c/unnamed%2B(17)%2Bcopy.jpg)
NEWS ALERT: MIILI YA WATU 14 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA CONGO YAIBUKA KIGOMA, ZAZIKWA NA SREKALI YA TANZANIA
JUMLA ya maiti 14 zimezikwa baada ya makubaliano baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya Demokrasia ya Congo(DRC)ambapo katika mazishi hayo serekali ya Congo iliwakilishwa na Balozi wa Congo kutoka ubalozi mdogo wa DRC Mkoani Kigoma.
Akizungumza muda mfupi baada ya mazishi ya raia hao Balozi mdogo wa DRC nchini kutoka Ubaozi mdogo Mkoani hapa,Mh. Riki Moleme alisema.
Mh. Maleme alisema kuwa amefarijika sana kwa namna serekali ya Tanzania...
10 years ago
StarTV22 Dec
Watu sita wafariki, wengine kujeruhiwa katika ajali Tunduma.
Na Amina Said,
Mbeya.
Watu sita wamefariki papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea leo alasiri eneo la mlima Chengula Tunduma mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imehusisha magari matatu, basi ndogo aina ya Toyota costa T 203 ARZ iliyogongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Shalom express wakati costa hiyo ikijaribu kulipita lori aina ya TATA mali ya Usangu Logistic lenye namba T 789 AZL.
Majeruhi wamepelekwa kwenye hospitali ya serikali iliyopo Vwawa...