FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA SHUKRANI JIJINI DAR
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0496.jpg)
Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100), aliyeaga dunia Ijumaa ya tarehe 17 January,2014 katika hospitali ya Mount Ukombozi na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 19 January, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Familia ya Mzee Arnold Kambonapani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_00191.jpg)
MZEE ARNOLD NKHOMA ATOA SHUKRANI KWA KUTIMIZA MIAKA 100
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0001.jpg)
MZEE ARNOLD WIFRED NKHOMA APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_00293.jpg)
MZEE ARNOLD WILFRED NKHOMA AFARIKI DUNIA
10 years ago
Dewji Blog14 Feb
Dkt. Bilal ahudhuria misa maalum ya kumuombea marehemu Evodius Walingozi kanisa la Mtakatifu Joseph Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Askofu Eusebius Nzigilwa, wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...