Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE ARNOLD WILFRED NKHOMA‏ AFARIKI DUNIA

Marehemu Mzee Arnold Wilfred Nkhoma Kambonapany (kulia) enzi za uhai wake akiwa na mmoja wa watoto wake kwenye ibada maalum ya kutoa shukrani alipotimiza miaka 100 iliyofanyika kwenye kanisa la Mtakatifu Andrea Magomeni jijini Dar hivi karibuni. Familia nzima ya Nkhoma Kambonapany wanasikitika kutangaza kifo cha baba na babu yao mpendwa Mzee Arnold Wilfred Nkhoma Kambonapany, kilichotokea kwenye hospitali ya Mount Ukombozi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA SHUKRANI JIJINI DAR‏

Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100), aliyeaga dunia Ijumaa ya tarehe 17 January,2014 katika hospitali ya Mount Ukombozi na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 19 January, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Familia ya Mzee Arnold Kambonapani...

 

11 years ago

GPL

MZEE ARNOLD NKHOMA ATOA SHUKRANI KWA KUTIMIZA MIAKA 100

Birthday Boy...Mzee Arnold Nkhoma akiwasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Andrew lililopo Magomeni jijini Dar kuhudhuria Ibada ya kutoa shukrani kwa kutimiza miaka 100 akiwa amesindikizwa na mmoja wa watoto wake wa kiume pamoja na mjukuu wake Sawiche Wamunza (kushoto). Birthday Boy Mzee Arnold Nkhoma akihudhuria Ibada pamoja na kutoa shukrani ya kutimiza miaka 100 kwenye kanisa la… ...

 

11 years ago

GPL

MZEE ARNOLD WIFRED NKHOMA APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Arnold Nkhoma wakisaini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa mmoja wa mabinti wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma. Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mmoja watoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch (katikati).…

 

11 years ago

GPL

MZEE DUDE AFARIKI DUNIA

Mzee Dude enzi za uhai wake. MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.…

 

10 years ago

GPL

MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA

MWIGIZAJI nguli raia wa Kenya, Benson Wanjau 'Mzee Ojwang' amefariki dunia jana jioni akiwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (Pneumonia). Mzee Ojwang atakumbukwa katika Vipindi vya Televisheni kama Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na Kinyonga. Amefariki akiwa na umri wa miaka 78.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani