Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia ya marehemu yapagawa mtuhumiwa kutofikishwa kortini

FAMILIA ya marehemu Chacha Silas (59), mkazi wa kitongoji cha Bumangi, kijiji cha Wegero, wilaya ya Butiama, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha jeshi la polisi wilayani humo, kutomfikisha mahakamani mtuhumiwa wa mauaji ya ndugu yao kwa kutumia rungu, wakiwa kwa mwanamke waliyekuwa wanamchukua kimapenzi wote wawili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nusura wazichape kortini wakimgombea mtuhumiwa

Dar es Salaam. Ilikuwa kama filamu, lakini ndivyo ilivyotokea baada ya wanawake kutaka kuzikunja ngumi ndani ya Ukumbi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aanguka kortini

MSHTAKIWA Hamis Malindo (30), anayekabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya, ameanguka katika chumba cha Mahakama baada ya kusomewa mashitaka yanayomkabili.

 

10 years ago

Mtanzania

Mtuhumiwa ugaidi azua jambo kortini

Arusha Town

Arusha Town

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

WATUHUMIWA wa kesi ya ugaidi na kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al-Shabaab la nchini Somalia, wametaka upande wa mashtaka uwaeleze alipo mtuhumiwa mwenzao, Abdallah Thabit.

Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi, Rose Ngoka, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa.

Wakati watuhumiwa hao wakiwa mbele ya hakimu huyo, mtuhumiwa Ally Hamis alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Ngoka amsaidie kuuliza upande wa mashtaka ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini

>Kelele na sauti za zomeazomea jana zilitawala kutoka kwa watu waliokusanyika nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakati Amina Maige, anayekabiliwa na shtaka la kujeruhi mfanyakazi wa ndani, alipokuwa akiwasili eneo hilo.

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi ya marehemu Mawazo yatinga kortini

MboweNA BENJAMIN MASESE, MWANZA

HATIMAYE Charles Lugiko ambaye ni baba mdogo wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa  Geita, marehemu Alphonce Mawazo, amefungua kesi ya kupinga uamuzi wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mwanza, kuwazuia kuaga mwili wa mtoto wao.

Kesi hiyo ilifunguliwa jana katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ambapo wanasheria watatu wa Chadema walijitokeza kwa ajili ya kumtetea.

Jeshi hilo, lilizuia mwili wa marehemu Mawazo usiagwe jijini Mwanza...

 

11 years ago

Mwananchi

Familia Sumbawanga yazua kioja kortini mahakamani s’wanga

Mahakama ya Mwanzo mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana iligeuka uwanja wa mapambano kati ya Polisi wa Kituo Kikuu na familia ya Mzee Anastazio Sikombe (62) baada ya familia hiyo kuanza kuwashambulia polisi waliokuwa wakitaka kuwakamatwa kwa tuhuma za kuingia na kulima katika shamba la mtu mwingine kinyume na sheria.

 

11 years ago

Michuzi

FAMILIA YA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI YATOA SHUKRANI


Wapendwa Jamaa, marafiki na Watanzania wenzetu kwa ujumla,

Familia ya Marehemu Mwesigwa Blandesi kwa pamoja na familia ya Byorwango hapa California,Tunapenda kutoa shukrani za dhati  naza kipekee kwa wote mlioshiriki kikamilifu katika njia zote za mwanzoni mpaka mwishoni mwa maisha ya marehemu Blandesi Mwesigwa aliyefariki May 26 2014.
Tunashukuru mengi, kuanzia, mchango ya matibabu, ushirikiano wa kuuguza, sala, mawazo, na kuwa pamoja na kwa ukaribu katika shughuli zote za msiba mojawapo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA

Rais wa Jakaya kikwete na Mama Salma Kikwete watoa pole na Kuifariji Familia ya Mbunge wa Mbinga magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwake Mbezi Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PETER KISUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo Upanga jijini Dar es salaam alipokwenda kwenye msiba wa mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya figo. Marehemu Mzee Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani