Familia Sumbawanga yazua kioja kortini mahakamani s’wanga
Mahakama ya Mwanzo mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana iligeuka uwanja wa mapambano kati ya Polisi wa Kituo Kikuu na familia ya Mzee Anastazio Sikombe (62) baada ya familia hiyo kuanza kuwashambulia polisi waliokuwa wakitaka kuwakamatwa kwa tuhuma za kuingia na kulima katika shamba la mtu mwingine kinyume na sheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Dec
IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfUvPSttO0KNrtooiIT-bXQIdEMBeBLWOYW271BQdqP9AlkvK1YwRt04JiiafN3vOCd*YFOO3eAs5dXbMRJ7cC2CRPm6taw9/3.jpg?width=650)
FAMILIA YA MWINYI YAZUA TAFRANI
11 years ago
Habarileo04 May
Familia ya marehemu yapagawa mtuhumiwa kutofikishwa kortini
FAMILIA ya marehemu Chacha Silas (59), mkazi wa kitongoji cha Bumangi, kijiji cha Wegero, wilaya ya Butiama, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha jeshi la polisi wilayani humo, kutomfikisha mahakamani mtuhumiwa wa mauaji ya ndugu yao kwa kutumia rungu, wakiwa kwa mwanamke waliyekuwa wanamchukua kimapenzi wote wawili.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCi*1NNEfTtZAHmiX*CWfFhYOUYvSMebgEemIaiVtU-B7pHR6DIcFEBsQTbahwxxczwAN*UsjrYHM0BxhPUyDRxg/apandamnara2.jpg)
KIOJA CHA KUFUNGA MWAKA: JAMAA APANDA JUU YA MNARA, AKATAA KUSHUKA MPAKA AONANE NA RAIS KIKWETE
9 years ago
Habarileo17 Dec
Madiwani S’wanga wapewa meno
MADIWANI wapya wa Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wametakiwa kuwa na utaratibu wa kuandaa na kusoma taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyopo katika zao katika vikao vya Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo.
11 years ago
Daily News14 Feb
S'wanga traders stick to their guns on EFD use
Daily News
THE closure of businesses in Sumbawanga municipality, Rukwa Region, in protest at the compulsory use of electronic fiscal devices (EFDs) on Thursday entered its second day . They called on the government to suspend use of the gadgets despite the ...
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal, Man Utd wang’aa EPL
10 years ago
Daily News17 Apr
Storms render 20 S'wanga families homeless
Daily News
OVER 20 families have been rendered homeless following heavy rains accompanied by strong winds that pounded Katumba-Azimio in Sumbawanga Municipality, Rukwa Region, for two hours on Monday. Also, four people are reported to have sustained ...
11 years ago
IPPmedia07 Jun
S`wanga grapples with street children problem
IPPmedia
There are at least 6,872 street children living in pathetic conditions in Sumbawanga, a recent survey by Sumbawanga Municipal council, a figure that has been growing steadily in the last two decades. The survey in which NGOs, private and public institutions ...