Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nusura wazichape kortini wakimgombea mtuhumiwa

Dar es Salaam. Ilikuwa kama filamu, lakini ndivyo ilivyotokea baada ya wanawake kutaka kuzikunja ngumi ndani ya Ukumbi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbunge, Mkurugenzi nusura wazichape

Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema wa Mkoa wa Manyara, Paulina Gekul jana alilazimika kuokolewa na polisi wilayani hapa, kutokana na kushambuliwa na Mkurugenzi wa Halmashari ya Mji wa Babati, Omari Mkombole na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Mohamedi Fara, wakigombea kabrasha lenye majina ya wanaopaswa kupewa ardhi.

 

9 years ago

Mtanzania

Makonda, kubenea nusura wazichape

1Na Shabani Matutu, Dar es salaam

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), nusura azichape kavu kavu na Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni, Paul Makonda baada ya kutokea kutoelewana.

Kutokana na hali hiyo Makonda aliwaagiza askari wa Jeshi la Polisi kumtia mbaroni Kubenea kwa kile kilichoelezwa kuwa mbunge huyo ameshindwa kutii agizo la mkuu huyo wa wilaya.

Tukio hilo lilitokea jana, jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao kukutana katika mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Tooku...

 

11 years ago

GPL

RAY, CHIKI NUSURA WAZICHAPE!

Stori: Musa Mateja
ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, na Salum Mchoma ‘Chiki’, wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana maneno. Staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Tifu hilo lilitokea wikiendi iliyopita, Lamada Hotel – Ilala, Dar ambapo Chiki alimshukia Ray akidai kuwa (Ray) haungi mkono uongozi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota Yanga nusura wazichape

Mazoezi magumu ya kocha Hans Pluijm nusura yawatokee puani mshambuliaji raia wa Mzimbabwe, Donald Ngoma na beki Juma Abdul ambao nusura wazichape kavu kavu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM nusura wazichape bungeni

Dodoma. Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gosbert Blandes (Karagwe) na Rosemary Kirigini (Viti Maalumu) jana nusura wakunjane mashati nje ya Ukumbi wa Bunge, baada ya Kirigini kukasilishwa na kauli iliyotolewa na mwenzake akimtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Momba, Ngange nusura wazichape nje ya ulingo

MABONDIA Sadiki Momba na Adamu Ngange, nusura wazichape wakati wa utambulisho mbele ya waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, jana. Wakali hao wanatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 27, katika moja...

 

11 years ago

Mwananchi

Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

>Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba nusura wapigane baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala wa ndani ya Kamati Namba Sita inayoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira.

 

11 years ago

Michuzi

MTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI ,NUSURA WAENDESHA BODABODA WAMTOE ROHO

Askari polisi wa kituo cha kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia hatua mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki. Askari katika ofisi za kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao wa pikipiki. Madereva hao walionekana kukerekwa na kuzuiwa...

 

9 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aanguka kortini

MSHTAKIWA Hamis Malindo (30), anayekabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya, ameanguka katika chumba cha Mahakama baada ya kusomewa mashitaka yanayomkabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani