RAY, CHIKI NUSURA WAZICHAPE!
![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeLVQdPDEo782lxJ*KOYYxrJCnIhYxXrcTNSg4pqL9Lh5Xu6tf*AFC7AlwDZGl7X05ZPu0zUqmeD0CqUY8NznujG/chiki.jpg)
Stori: Musa Mateja ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, na Salum Mchoma ‘Chiki’, wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana maneno. Staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. Tifu hilo lilitokea wikiendi iliyopita, Lamada Hotel – Ilala, Dar ambapo Chiki alimshukia Ray akidai kuwa (Ray) haungi mkono uongozi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtEZ9kx-DMJgtDdn5hLRERvNYHGixSGJ1T63qQl1OK3kRwio1uQbu1uiEYLdn7us7Lv04seXTabV0mpbbklDY5c*/ray.jpg?width=650)
UNDANI BIFU LA RAY, CHIKI
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Makonda, kubenea nusura wazichape
Na Shabani Matutu, Dar es salaam
MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), nusura azichape kavu kavu na Mkuu wa Wilaya ya Kinodnoni, Paul Makonda baada ya kutokea kutoelewana.
Kutokana na hali hiyo Makonda aliwaagiza askari wa Jeshi la Polisi kumtia mbaroni Kubenea kwa kile kilichoelezwa kuwa mbunge huyo ameshindwa kutii agizo la mkuu huyo wa wilaya.
Tukio hilo lilitokea jana, jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao kukutana katika mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Tooku...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mbunge, Mkurugenzi nusura wazichape
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Nyota Yanga nusura wazichape
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Nusura wazichape kortini wakimgombea mtuhumiwa
10 years ago
Mwananchi16 May
Wabunge wa CCM nusura wazichape bungeni
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Momba, Ngange nusura wazichape nje ya ulingo
MABONDIA Sadiki Momba na Adamu Ngange, nusura wazichape wakati wa utambulisho mbele ya waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, jana. Wakali hao wanatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 27, katika moja...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni
10 years ago
Bongo Movies06 May
Ray na Davina Kidogo Wazichape Ukumbini!
Mastaa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Halima Yahaya ‘Davina’ nusura wazichape kavukavu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar baada ya Ray kudaiwa kumshika mwenzake huyo sehemu nyeti, Risasi Mchanganyiko lina mchapo kamili.
Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti la Risasi, ambacho kilikuwa shuhuda wa tukio hilo, Davina alikuwa amekaa na wasanii wengine pamoja na Mlezi wa Bongo Movies, mama Loraa wakipata vinywaji ndipo Ray alipofika na kuharibu shughuli.
“Wakati Davina...