Mtuhumiwa ugaidi azua jambo kortini
Arusha Town
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WATUHUMIWA wa kesi ya ugaidi na kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al-Shabaab la nchini Somalia, wametaka upande wa mashtaka uwaeleze alipo mtuhumiwa mwenzao, Abdallah Thabit.
Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi, Rose Ngoka, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa.
Wakati watuhumiwa hao wakiwa mbele ya hakimu huyo, mtuhumiwa Ally Hamis alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Ngoka amsaidie kuuliza upande wa mashtaka ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Aug
Mtoto wa Diamond azua jambo!
![MAMA-DIAMOND-NA-MTOTO](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/MAMA-DIAMOND-NA-MTOTO.jpg)
VISA vimeanza! Siku chache baada ya nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata ‘baby girl’ aliyempa jina la Latifah kupitia kwa mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari’ kuna madai kwamba, jina la Latifah limezua mambo, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, baadhi ya wanafamilia wa Diamond hawakubaliani na jina hilo wakitaka kichanga huyo aitwe Sanura, jina la mama Diamond wakiamini kuwa, ndiyo historia ya enzi na enzi, kwamba mtoto...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Mtuhumiwa azua kihoja mahakamani Rwanda
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Mtuhumiwa wa ugaidi akamatwa Uingereza
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/gaidi.jpg)
MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mtuhumiwa ugaidi ajirusha ghorofani
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watuhumiwa 26 wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi, huku Ally Ulatule anayetajwa kama kinara wa vikundi hivyo akijaribu kutoroka au kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya tatu wakati akihojiwa na polisi.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mtuhumiwa wa matukio ya ugaidi auawa Arusha
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Mtuhumiwa ugaidi Kenya alitoweka shuleni Dodoma
9 years ago
Habarileo29 Dec
Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aanguka kortini
MSHTAKIWA Hamis Malindo (30), anayekabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya, ameanguka katika chumba cha Mahakama baada ya kusomewa mashitaka yanayomkabili.
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Nusura wazichape kortini wakimgombea mtuhumiwa