MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/gaidi.jpg)
Mtuhumiwa huyo akiwa kituoni. Na Makongoro Oging’ HALI tete! Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar lilifanikiwa kumdhibiti mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kufuatia madai ya kuvamia Kituo cha Polisi Charambe akiwa na panga. Habari zilizopatikana kutoka kwa raia wa eneo hilo ambao walimtafsiri mtu huyo kama gaidi kutokana na ujasiri wake wa kuvamia kituo kwa mapanga kwa lengo la kutaka kuwajeruhi askari...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Mtuhumiwa wa ugaidi Arusha afariki mikononi mwa polisi
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Mtuhumiwa tindikali Zanzibar anaswa
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa washukiwa wa matukio ya tindikali visiwani hapa, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya mji...
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Mtuhumiwa wa ugaidi akamatwa Uingereza
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mtuhumiwa ugaidi ajirusha ghorofani
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watuhumiwa 26 wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi, huku Ally Ulatule anayetajwa kama kinara wa vikundi hivyo akijaribu kutoroka au kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya tatu wakati akihojiwa na polisi.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mtuhumiwa wa matukio ya ugaidi auawa Arusha
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Mtuhumiwa ugaidi azua jambo kortini
![Arusha Town](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Arusha-Town.jpg)
Arusha Town
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WATUHUMIWA wa kesi ya ugaidi na kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al-Shabaab la nchini Somalia, wametaka upande wa mashtaka uwaeleze alipo mtuhumiwa mwenzao, Abdallah Thabit.
Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi, Rose Ngoka, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa.
Wakati watuhumiwa hao wakiwa mbele ya hakimu huyo, mtuhumiwa Ally Hamis alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Ngoka amsaidie kuuliza upande wa mashtaka ni...
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Mtuhumiwa ugaidi Kenya alitoweka shuleni Dodoma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGutO9vx3lEh5wtOstOP24B9me-e2PcfG8l1JEOjuImcue0t0QV9D6eFNEniUJXpgqP4qmFAic9IdiMjbT10b01dQ/BACKUWAZI.gif?width=650)
MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Mtuhumiwa wa ugaidi ajaribu kujiua kwa kujirusha ghorofani