Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa tindikali Zanzibar anaswa

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa washukiwa wa matukio ya tindikali visiwani hapa, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya mji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa tindikali mbaroni

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni , Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!

Mtuhumiwa  huyo akiwa kituoni. Na Makongoro Oging’ HALI tete! Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar lilifanikiwa kumdhibiti mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kufuatia madai ya kuvamia Kituo cha Polisi Charambe akiwa na panga. Habari zilizopatikana kutoka kwa raia wa eneo hilo ambao walimtafsiri mtu huyo kama gaidi kutokana na ujasiri wake wa kuvamia kituo kwa mapanga kwa lengo la kutaka kuwajeruhi askari...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE ASHANGAA MTUHUMIWA KUACHIWA NA MAHAKAMA ZANZIBAR KWA KUKOSEKANA MKALIMANI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi na Polisi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano wa Jeshi hilo, Mjini Unguja, leo. Simbachawene amesema atafuatilia kwa viongozi baada ya kupokea taarifa ya Jeshi lake, kuwa mtuhumiwa wa dawa za kulevya mjini humo kuachiwa huru na mahakama kwasasabu ya kukosekana kwa mkalimani. Pia alishangazwa na baadhi watuhumiwa wa dawa za kulevya kuachiliwa huru na mahakama kwa kupewa adhabu ndogo ambacho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheikh amwagiwa tindikali

IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Arusha

Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni jijini Arusha, Mustaph Mohamed Kihago (49) na mtoto wake, Halidi Mustapha (10), wamelazwa Hospitali ya Mkoa Mount Meru kwa matibabu, baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali na kuwajeruhi shingoni na usoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Songea

Watu wasiofahamika wamemwagia tindikali, mkazi wa Kijiji cha Kitanda Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Sheikh Nasib Ally (80) na kumpofua jicho lake la kushoto.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mtuhimiwa mtandao wa tindikali mbaroni


NA MWANDISHI WETU, ZANZIBARJESHI la Polisi Zanzibar limemtia mbaroni mtuhumiwa wa mtandao wa tindikali, Alawi Mohammed Silima.Ofisa Habari Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Mhina, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa jana na makachero wa polisi.Alisema Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne nje kidogo ya mji wa Zanzibar, anahusishwa na tukio la kummwagia tindikali Sheha wa Shehia ya Tomondo, Mohammed Omar Said.Mhina alisema mtuhumiwa huyo aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu, alikamatwa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vinara wa tindikali, mabomu mbaroni


NA MWANDISHI WETU
MTANDAO hatari wa uhalifu unaohusishwa na kuwamwagia watu tindikali na ulipuaji mabomu, umetiwa mbaroni mjini Zanzibar.
Habari za kuaminika zimesema watuhumiwa saba ambao wanatajwa kuwa vinara wa matukio hayo, walitiwa mbaroni juzi baada ya kufuatiliwa nyendo zao kwa muda mrefu.
Kabla ya kukamatwa, inadaiwa mtandao huo ulipanga kufanya tukio lingine la kihalifu visiwani humo na kwamba polisi walifanikiwa kunasa  mawasiliano hatari ya washirika wa mtandao huo.
Chanzo chetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani