Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI SIMBACHAWENE ASHANGAA MTUHUMIWA KUACHIWA NA MAHAKAMA ZANZIBAR KWA KUKOSEKANA MKALIMANI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi na Polisi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano wa Jeshi hilo, Mjini Unguja, leo. Simbachawene amesema atafuatilia kwa viongozi baada ya kupokea taarifa ya Jeshi lake, kuwa mtuhumiwa wa dawa za kulevya mjini humo kuachiwa huru na mahakama kwasasabu ya kukosekana kwa mkalimani. Pia alishangazwa na baadhi watuhumiwa wa dawa za kulevya kuachiliwa huru na mahakama kwa kupewa adhabu ndogo ambacho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akisalimiana Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo, kwa ajili ya ziara ya kikazi.  Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Waziri huyo alipofika kujitambulisha kwa Rais na kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Zanzibar, leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Ikulu jijini Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI SIMBACHAWENE IKULU JIJINI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.    Mhe. Goerg  Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazunguzo yaliofanyika leo 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu., baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Goerg Simbachawene,...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS, DK SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI SIMBACHAWENE, IKULU ZANZIBAR, LEO



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), wakati alipofika kujitambulisha na kufanya mazungunzo, Ikulu Zanzibar, leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akiwa katika picha ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAKILI KICHEELE AIOMBA MAHAKAMA KUFUNGUA AKAUNTI YA MTUHUMIWA ANAYEKABILIWA KWA KOSA LA KULAWITI

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu 

WAKILI Nyaronyo Kicheele anayemtetea mshtakiwa Samwel Philemon anayekabiliwa na kosa la kulawiti ameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufungua akaunti za mteja wake zinashoshikiliwa na polisi kwani mashtaka yanayomkabili siyo ya uhujumu uchumi na wala hayahusiani na fedha.

Kicheele amewasilisha maombi hayo leo Februari 17,mwaka 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Rashid Chaungu wakati mshtakiwa Philemon ambaye ni mfanyabiashara na mwenzake ambaye ni...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA CGP KWA MABADILIKO MAKUBWA MAGEREZANI


  Na Felix Mwagara, MOHA, Morogoro.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha kutokana na mabadiliko makubwa ya maendeleo kwa kipindi cha muda mfupi tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo.
Akizungumza katika hafla ya kuzindua mashine ya kuchimbia ‘excavator’ iliyofanyika Gereza la Mbigili, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, jana Waziri Simbachawene alisema Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) CHATOA Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar

 Kituo cha huduma za Sheria kimetoa Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar leo hoteli ya Mazsons, Shangani, Zanzibar. Juu nia baadhi ya Mashekh wakisikiliza mada katika mkutano uliondaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar.MRATIBU wa mafunzo  ZLSC Gabriel Mkama akitoa maelekezo katika mafunzo hayo.Sheikh Khamis Abdul hamid akiwasilisha maada ya malezi ya mtoto.Afisa habari wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Suleiman Abdulla akitoa ufafanunuzi.Sheikh...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani