Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA CGP KWA MABADILIKO MAKUBWA MAGEREZANI


  Na Felix Mwagara, MOHA, Morogoro.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha kutokana na mabadiliko makubwa ya maendeleo kwa kipindi cha muda mfupi tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo.
Akizungumza katika hafla ya kuzindua mashine ya kuchimbia ‘excavator’ iliyofanyika Gereza la Mbigili, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, jana Waziri Simbachawene alisema Jeshi la...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA CGP KWA MABADILIKO MAKUBWA MAGEREZA, AZINDUA MASHINE YA KUCHIMBIA ‘EXCAVATOR’ YA MILIONI 331 GEREZA MBIGILI MVOMERO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine mpya ya kuchimbia ‘excavator’ ya Gereza la Mbigili, Mkoani Morogoro, leo. Waziri huyo amempongeza Mkuu wa Jeshi hilo kwa kununua mashine hiyo, pia matipa matatu na basi la timu ya mpira wa miguu ya Jeshi hilo.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Askari na Maafisa wa Gereza la Mbigili, Morogoro, leo, kabla ya kuzindua mashine ya kuchimbia ‘excavator’ iliyonunuliwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia aina ya makosa ya watuhumiwa ambayo yana dhaminika ili kupunguza mlundikano wa mahabusu Magerezani.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE: KIFUNGO CHA NJE SULUHISHO MSONGAMANO MAGEREZANI NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii kabla ya kuzindua Kamati hiyo, jijini Dodoma, leo, ambayo itasimamia Utekelezaji wa Sheria ya Huduma kwa Jamii inayotoa fursa kwa wafungwa wa vifungo vidogo kutumikia adhabu hizo kwenye jamii. Pia Waziri huyo ameitaka Kamati hiyo, iweke mikakati zaidi ya kusimamia adhabu mbadala ya kifungo cha nje ili kuondoa msongamano magerezani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

9 years ago

Habarileo

JK ampongeza Magufuli kwa fikra, mabadiliko

RAIS Jakaya Kikwete amesema ni jambo jema kwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli kueleza fikra na matumaini ya kuleta mabadiliko katika uendeshaji wa Tanzania tofauti na uendeshaji ulivyo chini ya uongozi wake.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE: SERIKALI IPO KATIKA MCHAKATO KUHAKIKISHA MAHABUSU NCHINI WANAFANYA KAZI MAGEREZANI KAMA WAFUNGWA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akitoka Gereza Kuu Ukonga, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea Magereza ya Mkoa wa Dar es Salaam, leo. Akizungumza na Maafisa na Askari wa Gereza la Segerea, Ukonga na Keko, Simbachawene alisema Serikali ipo katika mchakato wa kuhakikisha mahabusu nao wanafanya kazi kama ilivyokuwa kwa wafungwa ili kuwezesha Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam, ACP. Solomon...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto) akisalimiana Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan, wakati alipokuwa anawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume, mjini Unguja, Zanzibar, leo, kwa ajili ya ziara ya kikazi.  Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Waziri huyo alipofika kujitambulisha kwa Rais na kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Zanzibar, leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Ikulu jijini Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE ASHANGAA MTUHUMIWA KUACHIWA NA MAHAKAMA ZANZIBAR KWA KUKOSEKANA MKALIMANI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi na Polisi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano wa Jeshi hilo, Mjini Unguja, leo. Simbachawene amesema atafuatilia kwa viongozi baada ya kupokea taarifa ya Jeshi lake, kuwa mtuhumiwa wa dawa za kulevya mjini humo kuachiwa huru na mahakama kwasasabu ya kukosekana kwa mkalimani. Pia alishangazwa na baadhi watuhumiwa wa dawa za kulevya kuachiliwa huru na mahakama kwa kupewa adhabu ndogo ambacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani