WAZIRI SIMBACHAWENE: KIFUNGO CHA NJE SULUHISHO MSONGAMANO MAGEREZANI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii kabla ya kuzindua Kamati hiyo, jijini Dodoma, leo, ambayo itasimamia Utekelezaji wa Sheria ya Huduma kwa Jamii inayotoa fursa kwa wafungwa wa vifungo vidogo kutumikia adhabu hizo kwenye jamii. Pia Waziri huyo ameitaka Kamati hiyo, iweke mikakati zaidi ya kusimamia adhabu mbadala ya kifungo cha nje ili kuondoa msongamano magerezani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJESHI LA MAGEREZA NCHINI KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI
Na, Lucas Mboje, MorogoroJeshi la Magereza nchini limeahidi kuendelea kushirikiana na Asasi ya Envirocare katika kuimarisha Madawati ya Msaada wa Kisheria Magerezani ili kuleta tija katika utatuzi wa changamoto ya Msongamano wa Mahabusu inayolikabili Jeshi hilo.
Kauli hiyo imetolewa jana Mkoani Morogoro na Kamishna...
10 years ago
VijimamboESHI LA MAGEREZA NCHINI KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI
Na, Lucas Mboje, Morogoro
Jeshi la Magereza nchini limeahidi kuendelea kushirikiana na Asasi ya Envirocare katika kuimarisha Madawati ya Msaada wa Kisheria Magerezani ili kuleta tija katika utatuzi wa changamoto ya Msongamano wa Mahabusu inayolikabili Jeshi hilo.
Kauli hiyo imetolewa jana Mkoani Morogoro na Kamishna...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...
5 years ago
CCM Blog
WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA CGP KWA MABADILIKO MAKUBWA MAGEREZANI

Na Felix Mwagara, MOHA, Morogoro.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha kutokana na mabadiliko makubwa ya maendeleo kwa kipindi cha muda mfupi tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo.
Akizungumza katika hafla ya kuzindua mashine ya kuchimbia ‘excavator’ iliyofanyika Gereza la Mbigili, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, jana Waziri Simbachawene alisema Jeshi la...
5 years ago
Michuzi
SIMBACHAWENE: SERIKALI IPO KATIKA MCHAKATO KUHAKIKISHA MAHABUSU NCHINI WANAFANYA KAZI MAGEREZANI KAMA WAFUNGWA

10 years ago
Habarileo20 Jun
Reli Dar, suluhisho la msongamano
WAKATI msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam ukiwa moja ya changamoto zinazozungumzwa zaidi na watangaza nia ya urais, huku wengi wakizungumzia ujenzi wa barabara za pete kuwa suluhisho, Rais Jakaya Kikwete amekuja na wazo jipya na ameanza kulifanyia kazi.
11 years ago
Habarileo15 Jul
Wizara yasisitiza programu ya kifungo cha nje
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa Jamii imesema ili urekebishaji wa wahalifu chini ya programu ya kifungo cha nje ufanikiwe, Serikali ichukue hatua za makusudi kueneza utekelezaji wa sheria ya huduma kwa jamii kwa nchi nzima.
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Kanye West apokea kifungo cha nje
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Cheka atolewa jela, apewa kifungo cha nje
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
BONDIA nguli nchini, Francis Cheka, jana alitolewa rumande na kupewa kifungo cha nje, huku akitakiwa kuripoti katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mjini kila siku kwa ajili ya shughuli za kijamii.
Februari 2, mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mkoani hapa ilimhukumu Cheka kifungo cha miaka mitatu kwenda jela na faini ya Sh milioni moja, baada ya kumshambulia na kumdhuru meneja wa baa yake, Bahati Kabanda, kosa alilofanya Julai 2, mwaka jana.
Hatua...