Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESHI LA MAGEREZA NCHINI KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI

Washiriki wa Kongamano la Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kutoka Magereza Mkoani tanga wakiendelea na majadiliano katika Kongamano hilo linalofanyika Mkoani Morogoro kwa siku tatu.
Na, Lucas Mboje, Morogoro

Jeshi la Magereza nchini limeahidi kuendelea kushirikiana na Asasi ya Envirocare katika kuimarisha Madawati ya Msaada wa Kisheria Magerezani ili kuleta tija katika utatuzi wa changamoto ya Msongamano wa Mahabusu inayolikabili Jeshi hilo.

Kauli hiyo imetolewa jana Mkoani Morogoro na Kamishna...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA NCHINI KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI


Washiriki wa Kongamano la Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kutoka Magereza Mkoani tanga wakiendelea na majadiliano katika Kongamano hilo linalofanyika Mkoani Morogoro kwa siku tatu.

Na, Lucas Mboje, MorogoroJeshi la Magereza nchini limeahidi kuendelea kushirikiana na Asasi ya Envirocare katika kuimarisha Madawati ya Msaada wa Kisheria Magerezani ili kuleta tija katika utatuzi wa changamoto ya Msongamano wa Mahabusu inayolikabili Jeshi hilo.
Kauli hiyo imetolewa jana Mkoani Morogoro na Kamishna...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA


Na.WAMJW,Dar es Salaam.
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na  janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam  na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  wakati akipokea andiko na mpango mkakati wa Asasi za Kiraia(AZAKI) kuhusu  janga la COVID -19 nchini.

Naibu Waziri Ndugulile alisema AZAKI pamoja na wananchi  wanao wajibu wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE: KIFUNGO CHA NJE SULUHISHO MSONGAMANO MAGEREZANI NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii kabla ya kuzindua Kamati hiyo, jijini Dodoma, leo, ambayo itasimamia Utekelezaji wa Sheria ya Huduma kwa Jamii inayotoa fursa kwa wafungwa wa vifungo vidogo kutumikia adhabu hizo kwenye jamii. Pia Waziri huyo ameitaka Kamati hiyo, iweke mikakati zaidi ya kusimamia adhabu mbadala ya kifungo cha nje ili kuondoa msongamano magerezani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

10 years ago

Habarileo

‘Asasi za kiraia wekezeni katika elimu ya uraia’

ASASI za kiraia zimetakiwa kuwekeza katika elimu ya uraia na kuelimisha jamii kuhusu haki zao hasa kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Balozi Mulamula: Asasi za Kiraia zina mchango mkubwa katika Amani ukanda wa Maziwa Makuu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Asasi za Kiraia kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliwashirikisha wenyeviti wa asasi za kiraia kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu. Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia ufunguzi wakati Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

Miradi iliyotekelezwa kwa ajili ya kupunguza msongamano katika halmashauri ya ilala

Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bi Tabu Shaibu akiwaeleza waandishi wa Habari (Hawapo pichani) waandishi wa Habari kuhusu Miradi iliyotekelezwa kwa ajili ya kupunguza msongamano katika halmashauri hiyo, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Bw. Frank Mvungi. Mhandisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bw. Batimagwa James akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu hatua zinazochukuliwa na Manispaa hiyo katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AZINDUA MIRADI SITA YA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO KATIKA JIJI LA DAR

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba- Tangi Bovu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

GEPF KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO

Wawakilishi kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani