Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Asasi za kiraia wekezeni katika elimu ya uraia’

ASASI za kiraia zimetakiwa kuwekeza katika elimu ya uraia na kuelimisha jamii kuhusu haki zao hasa kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA NCHINI KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI


Washiriki wa Kongamano la Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kutoka Magereza Mkoani tanga wakiendelea na majadiliano katika Kongamano hilo linalofanyika Mkoani Morogoro kwa siku tatu.

Na, Lucas Mboje, MorogoroJeshi la Magereza nchini limeahidi kuendelea kushirikiana na Asasi ya Envirocare katika kuimarisha Madawati ya Msaada wa Kisheria Magerezani ili kuleta tija katika utatuzi wa changamoto ya Msongamano wa Mahabusu inayolikabili Jeshi hilo.
Kauli hiyo imetolewa jana Mkoani Morogoro na Kamishna...

 

9 years ago

Vijimambo

ESHI LA MAGEREZA NCHINI KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPUNGUZA MSONGAMANO MAGEREZANI

Washiriki wa Kongamano la Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kutoka Magereza Mkoani tanga wakiendelea na majadiliano katika Kongamano hilo linalofanyika Mkoani Morogoro kwa siku tatu.
Na, Lucas Mboje, Morogoro

Jeshi la Magereza nchini limeahidi kuendelea kushirikiana na Asasi ya Envirocare katika kuimarisha Madawati ya Msaada wa Kisheria Magerezani ili kuleta tija katika utatuzi wa changamoto ya Msongamano wa Mahabusu inayolikabili Jeshi hilo.

Kauli hiyo imetolewa jana Mkoani Morogoro na Kamishna...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wazazi wekezeni katika elimu’

Wazazi na walezi wametakiwa kuwekeza katika elimu ya watoto kwa kuwa kufanya hivyo ndiyo bima pekee bora kwa maisha yao ya baadaye na Taifa kwa jumla.

 

9 years ago

Dewji Blog

Balozi Mulamula: Asasi za Kiraia zina mchango mkubwa katika Amani ukanda wa Maziwa Makuu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Asasi za Kiraia kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliwashirikisha wenyeviti wa asasi za kiraia kutoka nchi wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu. Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia ufunguzi wakati Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Msola: Wekezeni katika elimu

MBUNGE wa Kilolo, Profesa Peter Msola, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuwekeza katika elimu kwa kupeleka watoto shule ili kuondokana na janga la kukosa elimu. Profesa Msola aliyasema hayo wakati...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA


Na.WAMJW,Dar es Salaam.
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na  janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam  na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  wakati akipokea andiko na mpango mkakati wa Asasi za Kiraia(AZAKI) kuhusu  janga la COVID -19 nchini.

Naibu Waziri Ndugulile alisema AZAKI pamoja na wananchi  wanao wajibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE-ASASI KIRAIA ZINAZOJIHUSIHA NA SIASA KUFUTWA

 Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe  akizungumza na waandishi wa Habari ( hawapo pichani) kuhusiana  na Taasisi za Dini na vikundi mbalimbali  kuepuka kushiriki  katika  vitendo ambavyo vinaashilia kuvuruga amani na utulivu nchini jijini  Dar leo.
Baadhi ya Waandishi habari waliohudhuria katika mkutano wa wizara ya Mambo ya Ndani  jijini Dar es salaam leo.Picha Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

ASASI za Kiraia  zilizosajiliwa chini ya Wizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani