Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wazazi wekezeni katika elimu’

Wazazi na walezi wametakiwa kuwekeza katika elimu ya watoto kwa kuwa kufanya hivyo ndiyo bima pekee bora kwa maisha yao ya baadaye na Taifa kwa jumla.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Prof. Msola: Wekezeni katika elimu

MBUNGE wa Kilolo, Profesa Peter Msola, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuwekeza katika elimu kwa kupeleka watoto shule ili kuondokana na janga la kukosa elimu. Profesa Msola aliyasema hayo wakati...

 

10 years ago

Habarileo

‘Asasi za kiraia wekezeni katika elimu ya uraia’

ASASI za kiraia zimetakiwa kuwekeza katika elimu ya uraia na kuelimisha jamii kuhusu haki zao hasa kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU

 Mbunge wa jimbo la Kilolo Prof. Peter Msola akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwatasi katika kata ya Bomalang'ombe katika jimbo la Kilolo wilayani Kilolo Mkoani Iringa.
 baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mwatasi waliohudhuria mkutano wa hadhara katika kiwanja cha shule ya msingi Mwatasi wakisikiliza hotuba ya mbunge wao Prof Peter Msola
 Mmoja wa wakazi wa jimbo la Kilolo, Ayubu Sanga akitoa taarifa ya kijiji cha Mwatasi mbele ya Mbunge wa jimbo hilo Prof. Peter Msola

 -============  Na...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete awataka wazazi na walezi kuwekeza katika elimu ya watoto wao

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
Wazazi na walezi wilayani Lindi mjini  wametakiwa kuwekeza katika elimu ya  watoto wao kwa kuhakikisha wanakwenda shule kwa wakati kwani  elimu ni ukombozi wa maisha na kuolewa katika umri mdogo kwa watoto hao hakutawasaidia kimaisha.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama...

 

10 years ago

Habarileo

Shimbo: Watanzania wekezeni katika ardhi

Balozi wa Tanzania nchini hapa, Abdulrahman Shimbo WATANZANIA wameshauriwa kuwekeza katika ardhi nyumbani na kuifanya njia ya kuwasaidia vijana na wananchi wengine kujiepusha na biashara ya dawa za kulevya.

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo wa elimu wakwaza wazazi

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza, umebaini kuwa wazazi hawana matumaini na mfumo wa elimu unaotumika hivi sasa kufundishia kama utawasaidia watoto kupata ujuzi na stadi kwa kiwango wanachostahili kupata wakiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazazi wapongezwa muamko wa elimu

WAZAZI mkoani hapa wamepongezwa kwa kuwa na muamko wa kuwasomesha watoto wao katika shule zinazokidhi mahitaji ya wanafunzi bila kujali hali duni za familia zao. Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wazazi matineja wahitimu elimu mbadala

IMG_1858

Second Secretary wa Ubalozi wa Japan, Noriko TANAKA (kulia) akipokea kitabu cha wageni kutoka kwa Mratibu wa kata ya Segese iliyopo halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Bi. Victoria Maige alipofikia katika ofisi hizo kwa ajili ya zoezi la kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye mahafali ya Mpango wa Elimu Mbadala kwa Wasichana walioacha shule kwa sababu za Ujauzito unaofadhili Ubalozi wa Japan na kuratibiwa na UNESCO.

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga

WAZAZI wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani