Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Kikwete awataka wazazi na walezi kuwekeza katika elimu ya watoto wao

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
Wazazi na walezi wilayani Lindi mjini  wametakiwa kuwekeza katika elimu ya  watoto wao kwa kuhakikisha wanakwenda shule kwa wakati kwani  elimu ni ukombozi wa maisha na kuolewa katika umri mdogo kwa watoto hao hakutawasaidia kimaisha.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWAHIMIZA WALEZI NA WAZAZI KUWAPATIA WATOTO UJI NA UGALI WA DONA

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wazazi na walezi wameshauriwa kuwapa watoto uji na ugali wa unga wa dona na siyo sembe kwakuwa unga wa dona una kiini cha mahindi ambacho kinakirutubisho kinachosaidia ukuaji na uwezo wa akili ya binadamu.
Ushauri huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama hicho  katika matawi ya Mnazi...

 

5 years ago

Michuzi

DC MSHAMA AWATAKA WAZAZI WASIZIME NYOTA YA ELIMU KWA WATOTO WAO

 NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
MKUU wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama amewaasa wazazi na walezi , wilayani hapo kuwekeza katika elimu kwa watoto wao ili kuondokana na ujinga kwa manufaa ya maisha yao ya baadae.

Aidha ameitaka ,jamii kujenga tabia ya kujitolea kuchangia kwenye elimu ili kupunguza changamoto zinazoikabili sekta hiyo badala ya kuiachia serikali na wadau pekee.

Akitoa shukrani zake baada ya kukabidhiwa cheti kwa kupongezwa mchango wake kwenye elimisha Kibaha, cheti ambacho...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI NA WALEZI WASHAURIWA KUWALINDA WATOTO WAO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).

NA PATRICIA KIMELEMETA
WAZAZi na walezi wameshauriwa kuwalinda watoto wao ili wasiweze kupata maambukizi ya ugonjwa wa covid -19 ambao unaweza kuhatarisha maisha yao.
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT), Dr Elisha Osati amesema kuwa, mzazi au mlezi ana jukumu la kumlinda mtoto wake ili asiweze kupata maambukizo hayo hasa katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na ugonjwa huo.
"Watoto walio chini ya miaka 8, bado wadogo, wanahitaji msaada wa ulinzi na usalama kutoka kwa wazazi au...

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU

 Mbunge wa jimbo la Kilolo Prof. Peter Msola akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwatasi katika kata ya Bomalang'ombe katika jimbo la Kilolo wilayani Kilolo Mkoani Iringa.
 baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mwatasi waliohudhuria mkutano wa hadhara katika kiwanja cha shule ya msingi Mwatasi wakisikiliza hotuba ya mbunge wao Prof Peter Msola
 Mmoja wa wakazi wa jimbo la Kilolo, Ayubu Sanga akitoa taarifa ya kijiji cha Mwatasi mbele ya Mbunge wa jimbo hilo Prof. Peter Msola

 -============  Na...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWATAKA WAZAZI KUWAPOKEA WATOTO WAO WALIOACHANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akisalimiana na mmoja kati ya Vijana sita walioamua kuachana na matumizi ya Dawa za Kulevya katika Kijiji cha Fujano hapo katika Viunga vya vya Skuli ya Fujoni. Kati kati yao ni Mwakilishi wa Umoja wa kusaidia mapambano dhidi ya matumizi ya Dawa za kulevya na Pombe Tanzania Bwana Abdulrahman Mohammed Abdulla. Mwakilishi wa Umoja wa kusaidia mapambano dhidi ya matumizi ya Dawa za kulevya na Pombe Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

DC LUDEWA AWASISITIZA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WAO WANAPATA ELIMU BORA

 Mkurugenzi wa taasisi ya PADECO akikagua vyumba vya jengo la utawala. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Andrea Tsere (kulia) akikagua jengo la utawala linaloendelea kujengwa
 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Adrea Tsere(Kushoto) akielekezwa ramani ya ujenzi wa shule ya Nicopolis Academy, kulia ni mmiliki wa shule hiyo Augustino Mwinuka  Diwani wa kata ya Ludewa Monica Mchiro(kulia) akiangalia vyumba vya madarasa ambavyo vinaendelea kujengwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amewataka...

 

10 years ago

Michuzi

Wazazi nchini waaswa kuzungumza na watoto wao juu ya elimu na swala zima la maisha

Wazazi nchini Tanzania wametakiwa kuzungumza na watoto wao umuhimu wa elimu na hali halisi ya maisha ili kuepuka kujiingiza kwenye vitendo viovu  ikiwamo mimba za utotoni na maambukizi ya ukimwi.
Hayo yamesema na Mkurugenzi wa Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) Lulu Ng'wanakilala katika maadhimisho ya kupinga unyanyasajji kwa watoto pamoja na maambukizi ya ukimwi nchini.
"Wazazi na jamii kwa ujumla wanapaswa kukemea tabia ya unyanyasaji hasa wanafunzi wanaofanyiwa na makondakta wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani