Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi nchini waaswa kuzungumza na watoto wao juu ya elimu na swala zima la maisha

Wazazi nchini Tanzania wametakiwa kuzungumza na watoto wao umuhimu wa elimu na hali halisi ya maisha ili kuepuka kujiingiza kwenye vitendo viovu  ikiwamo mimba za utotoni na maambukizi ya ukimwi.
Hayo yamesema na Mkurugenzi wa Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) Lulu Ng'wanakilala katika maadhimisho ya kupinga unyanyasajji kwa watoto pamoja na maambukizi ya ukimwi nchini.
"Wazazi na jamii kwa ujumla wanapaswa kukemea tabia ya unyanyasaji hasa wanafunzi wanaofanyiwa na makondakta wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wazazi waaswa kuwalinda watoto wao

WAZAZI wametakiwa kuwapokea vizuri na kuwalea kwa maadili wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne wakati wakisubiri matokeo yao ya kwenda kidato cha tano. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

mkali wao katika swala zima la kupigilia

 Kamera ya Globu ya Jamii hivi karibuni ilimnasa mdau huyu akiwa amepigia vitu vyake adimu kama anavyoonekana.

 

5 years ago

Michuzi

DC MSHAMA AWATAKA WAZAZI WASIZIME NYOTA YA ELIMU KWA WATOTO WAO

 NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
MKUU wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama amewaasa wazazi na walezi , wilayani hapo kuwekeza katika elimu kwa watoto wao ili kuondokana na ujinga kwa manufaa ya maisha yao ya baadae.

Aidha ameitaka ,jamii kujenga tabia ya kujitolea kuchangia kwenye elimu ili kupunguza changamoto zinazoikabili sekta hiyo badala ya kuiachia serikali na wadau pekee.

Akitoa shukrani zake baada ya kukabidhiwa cheti kwa kupongezwa mchango wake kwenye elimisha Kibaha, cheti ambacho...

 

5 years ago

Michuzi

DC LUDEWA AWASISITIZA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WAO WANAPATA ELIMU BORA

 Mkurugenzi wa taasisi ya PADECO akikagua vyumba vya jengo la utawala. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Andrea Tsere (kulia) akikagua jengo la utawala linaloendelea kujengwa
 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Adrea Tsere(Kushoto) akielekezwa ramani ya ujenzi wa shule ya Nicopolis Academy, kulia ni mmiliki wa shule hiyo Augustino Mwinuka  Diwani wa kata ya Ludewa Monica Mchiro(kulia) akiangalia vyumba vya madarasa ambavyo vinaendelea kujengwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amewataka...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete awataka wazazi na walezi kuwekeza katika elimu ya watoto wao

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
Wazazi na walezi wilayani Lindi mjini  wametakiwa kuwekeza katika elimu ya  watoto wao kwa kuhakikisha wanakwenda shule kwa wakati kwani  elimu ni ukombozi wa maisha na kuolewa katika umri mdogo kwa watoto hao hakutawasaidia kimaisha.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI TENGENI MUDA NA WATOTO WENU NA MUWAPE ELIMU JUU YA UGONJWA WA COVID-19

Baadhi ya washarika wakiwa wanatawanyika mara baada ya ibada ya kwanza katika KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Arusha Mashariki Usharika wa EngarenarokNaibu Katibu mkuu  Misioni na Uinjilisti Dayosisi kaskazini Kati Jackson Kahembu akinawa mikono mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kwanza kama anavyoonekana katika picha.
Baadhi ya washarika wakiwa wanatawanyika mara baada ya ibada ya kwanza katika KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati Jimbo la Arusha Mashariki Usharika wa Engarenarok

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani