Shimbo: Watanzania wekezeni katika ardhi
WATANZANIA wameshauriwa kuwekeza katika ardhi nyumbani na kuifanya njia ya kuwasaidia vijana na wananchi wengine kujiepusha na biashara ya dawa za kulevya.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SStMXlPdMT0/VUtmTqLkQ_I/AAAAAAAC4GA/WbkYTDW-Z0U/s72-c/Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda1.jpg)
WATANZANIA WEKEZENI KWENYE VIWANDA - PINDA
![](http://3.bp.blogspot.com/-SStMXlPdMT0/VUtmTqLkQ_I/AAAAAAAC4GA/WbkYTDW-Z0U/s320/Waziri-Mkuu-wa-Tanzania-Mizengo-Pinda1.jpg)
Ametoa wito huo jana jioni (Jumatano, Mei 6, 2015) baada ya kutembelea maonyesho ya biashara ya Syria yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania pamoja na wafanyabiashara kadhaa,...
10 years ago
Mwananchi26 Aug
‘Wazazi wekezeni katika elimu’
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Prof. Msola: Wekezeni katika elimu
MBUNGE wa Kilolo, Profesa Peter Msola, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuwekeza katika elimu kwa kupeleka watoto shule ili kuondokana na janga la kukosa elimu. Profesa Msola aliyasema hayo wakati...
10 years ago
Habarileo09 Jan
‘Asasi za kiraia wekezeni katika elimu ya uraia’
ASASI za kiraia zimetakiwa kuwekeza katika elimu ya uraia na kuelimisha jamii kuhusu haki zao hasa kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Ujumbe wizara ya ardhi wafurahia utendaji wa Nchi ya Singapore namna ya utawala bora katika ardhi
Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya.
Ujumbe wa NHC...
10 years ago
Habarileo25 May
Shimbo: Mabalozi msikae mbali na vijana
BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo amewataka mabalozi wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, kutokukaa mbali na vijana kwa kuwa wanahitaji kuongozwa na kusaidiwa kutumia nguvu zao kwa ujenzi wa nchi na malengo yao.
10 years ago
Habarileo03 Jan
Shimbo: Wanafunzi heshimuni sheria za China
BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo amewataka wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma hapa, waheshimu sheria za nchi hii na kujiepusha na marafiki wanaotoka katika nchi zenye sifa ya vurugu.
11 years ago
Habarileo01 Jul
Nagu: Wekezeni walipo wananchi
SERIKALI imesema ipo haja ya kuwekeza katika sekta ambazo wananchi wengi ndipo walipo ili waweze kunufaika na kukua kwa uchumi pamoja na kupunguza umasikini.
10 years ago
Habarileo27 Mar
Marais: Wekezeni kwenye miundombinu
WAKUU wa nchi za Afrika Mashariki wanaounda Ukanda wa Kati, wametoa rai kwa wawekezaji na wadau, kutumia fursa iliyopo sasa kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu.