WATANZANIA WEKEZENI KWENYE VIWANDA - PINDA
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo wa kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda hapa nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza hapa nchini.
Ametoa wito huo jana jioni (Jumatano, Mei 6, 2015) baada ya kutembelea maonyesho ya biashara ya Syria yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania pamoja na wafanyabiashara kadhaa,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Apr
Shimbo: Watanzania wekezeni katika ardhi
WATANZANIA wameshauriwa kuwekeza katika ardhi nyumbani na kuifanya njia ya kuwasaidia vijana na wananchi wengine kujiepusha na biashara ya dawa za kulevya.
10 years ago
Habarileo27 Mar
Marais: Wekezeni kwenye miundombinu
WAKUU wa nchi za Afrika Mashariki wanaounda Ukanda wa Kati, wametoa rai kwa wawekezaji na wadau, kutumia fursa iliyopo sasa kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu.
5 years ago
MichuziWAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO
10 years ago
Mwananchi07 May
Watanzania tuthamini viwanda vyetu
10 years ago
Habarileo08 May
Anzisheni viwanda tusiendelee kuwa wachuuzi-Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka Watanzania wenye uwezo wa kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda hapa nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza hapa nchini.
9 years ago
StarTV20 Aug
Pinda azihimizwa Nchi wanachama wa SADC kukuza viwanda
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC haina budi kuweka mkakati utakaohakikisha nchi wanachama zinakuwa na mpango mahususi wa kuendeleza viwanda kama ambavyo imekubaliwa kwenye kikao chao kilichomalizika jana.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wa 35 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika jijini Gaborone, Botswana.
SADC kupitia sekretarieti yake itabidi...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ahimiza Watanzania kuanzisha viwanda vya dawa
WATANZANIA wenye mitaji wameshauriwa kuwekeza katika viwanda vya dawa, kwani kwa sasa vimebaki viwanda vitatu tu nchini vinavyofanya kazi. Kutokana na hali hiyo, Serikali inalazimika kuagiza dawa nje ya nchi, ambapo kwa mwaka jana ilitumia zaidi ya Sh bilioni 75 kununua dawa.
10 years ago
Habarileo08 Jun
Membe kupeleka nchi kwenye uchumi wa viwanda
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi kuwania urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM}, huku akitamba ataipeleka nchi katika uchumi wa viwanda unaobebwa na kilimo na kuahidi kujenga serikali ya waadilifu.
5 years ago
MichuziTUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI-PROF. SHEMDOE
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Kiwanda kuzalisha mafuta ya kupikia cha Bugili Investment Bw. Nkuba Bugili wa kwanza (kushoto) alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu. {Picha na Wizara ya Viwanda na Biashara} .
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe...