Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania tuthamini viwanda vyetu

Katika ukurasa huu wa gazeti la jana, kwenye safu maarufu ya Kipanya ambayo inafuatilia masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi na kufikisha ujumbe kwa michoro, ulibeba maudhui ya mfumuko wa bei.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Tusiue wakulima, viwanda vyetu

OFISI Ofisi ya Taifa ya Takwimu ( NBS), imetangaza kupungua kupungua kwa baadhi ya bidhaa za vyakula kuanzia Oktoba mwaka jana hadi Oktoba mwaka huu kwa mazao ya chakula katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sabasaba ichochee viwanda vyetu

MAONYESHO ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yaliyoanza Juni 28 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam yanatarajia...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WEKEZENI KWENYE VIWANDA - PINDA

WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo wa kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda hapa nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza hapa nchini.
Ametoa wito huo jana jioni (Jumatano, Mei 6, 2015) baada ya kutembelea maonyesho ya biashara ya Syria yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania pamoja na wafanyabiashara kadhaa,...

 

11 years ago

Habarileo

Ahimiza Watanzania kuanzisha viwanda vya dawa

WATANZANIA wenye mitaji wameshauriwa kuwekeza katika viwanda vya dawa, kwani kwa sasa vimebaki viwanda vitatu tu nchini vinavyofanya kazi. Kutokana na hali hiyo, Serikali inalazimika kuagiza dawa nje ya nchi, ambapo kwa mwaka jana ilitumia zaidi ya Sh bilioni 75 kununua dawa.

 

10 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WA SENSA YA VIWANDA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Maria Bilia akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wadadisi 200 wa Sensa ya Viwanda itayofanyika nchi nzima mwezi huu. Mafunzo hayo yanafanyika chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo eneo la Changanyikeni jijini Dar es salaam.Mkuu wa chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo eneo la Changanyikeni jijini Dar es salaam Prof.Ngalinda Innocent akizungumza na wadadisi watakaokusanya takwimu za Sensa ya Viwanda mwezi huu...

 

10 years ago

GPL

KUNA TATIZO KUBWA KWENYE VYAKULA VYETU

Miongo mitatu iliyopita (miaka 30), vyakula vingi vilivyopatikana kwa chakula cha binadamu vilikuwa vibichi na vitokanavyo na mazao yaliyovunwa kutokana na kilimo cha asili. Lakini hivi sasa hali imebadilika, idadi kubwa ya vyakula tunavyokula, iwe nyumbani, migahawani au shuleni, siyo vyakula vibichi na asilia, bali vingi ni vya kutengeneza na kuhifadhiwa kwa muda mrefu, huku vikiwekwa sukari ama chumvi nyingi. Kutokana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gerrad ''tunakibarua kigumu kuinua viwango vyetu''

Nahodha wa Liverpool amekiri kuwa timu hiyo inakazi ya ziada kufanya ilikuinua uwezo wao

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani