Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI-PROF. SHEMDOE

Sehemu ya shehena ya mbegu za alizeti zilizopo kiwandani hapo zikiwa tayari kwa ajili ya uzalishaji.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Kiwanda kuzalisha mafuta ya kupikia cha Bugili Investment Bw. Nkuba Bugili wa kwanza (kushoto) alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu. {Picha na Wizara ya Viwanda na Biashara} .
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PROF. SHEMDOE ATOA WITO KWA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANDA














Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Ludovick Nduhiye akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Veronica Nchango ramani ya eneo kwa ajili ya utekelezaji.

Sehemu ya eneo ambalo Wizara imekabidhiwa kwa ajili ya kufanya utekelezaji.

Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha “KOM Food products “ kinachomilikiwa na mzawa kikiwa katika hatua ya ujenzi.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiwa katika moja...

 

9 years ago

Mwananchi

Viwanda hatari vinavyotumia watoto kuzalisha nguo Bangladesh

Mazingira ya uzalishaji katika viwanda vingi kwenye nchi maskini si mazuri sana. Uzalishaji katika sehemu nyingi hufanyika katika mazingira yanayohatarisha usalama wa maisha ya wafanyakazi.

 

5 years ago

Michuzi

TUZALISHE KWA WINGI BIDHAA TULIZOKUWA TUNAAGIZA KUTOKA NJE: PROF SHEMDOE


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza kulia akiwa kwenye Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye ataka viwanda vya ndani vilindwe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kuwa ni vigumu kuuondoa umaskini nchini kama serikali haitaongeza uuzaji wa bidhaa zake nje ya nchi. Alisema serikali pia lazima ivilinde viwanda vyake vichanga...

 

10 years ago

Michuzi

NJIA ZA "PANYA" ZA SUKARI ZINAUA VIWANDA VYA NDANI - ZITTO KABWE

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC),Mh. Zitto Kabwe (wa tatu kulia) akizungumza wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika kwenye ofisi ndogo za Bunge,Jijini Dar es salaam leo.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) na  Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WEKEZENI KWENYE VIWANDA - PINDA

WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo wa kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda hapa nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza hapa nchini.
Ametoa wito huo jana jioni (Jumatano, Mei 6, 2015) baada ya kutembelea maonyesho ya biashara ya Syria yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania pamoja na wafanyabiashara kadhaa,...

 

10 years ago

Habarileo

Membe kupeleka nchi kwenye uchumi wa viwanda

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe, akihutubia wananchi mkoani Lindi wakati akitangaza nia.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi kuwania urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM}, huku akitamba ataipeleka nchi katika uchumi wa viwanda unaobebwa na kilimo na kuahidi kujenga serikali ya waadilifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba: Tuwekeze katika michezo

Ni ndoto kwa Tanzania kufanya vizuri kwenye michezo kitaifa na kimataifa bila kuwekeza kwenye kukuza vipaji vya vijana kama ambavyo zimefanya nchi nyingine duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani