Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viwanda hatari vinavyotumia watoto kuzalisha nguo Bangladesh

Mazingira ya uzalishaji katika viwanda vingi kwenye nchi maskini si mazuri sana. Uzalishaji katika sehemu nyingi hufanyika katika mazingira yanayohatarisha usalama wa maisha ya wafanyakazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUWEKEZE KWENYE VIWANDA VINAVYOTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI-PROF. SHEMDOE

Sehemu ya shehena ya mbegu za alizeti zilizopo kiwandani hapo zikiwa tayari kwa ajili ya uzalishaji.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Kiwanda kuzalisha mafuta ya kupikia cha Bugili Investment Bw. Nkuba Bugili wa kwanza (kushoto) alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu. {Picha na Wizara ya Viwanda na Biashara} .
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mmea hatari watumiwa kuzalisha kawi Kenya

Mmea wa Mathenge ulikuwa umegeuka kero maeneo mengi Kenya lakini sasa umekuwa baraka baada ya kuanza kutumiwa kuzalisha kawi.

 

5 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUZALISHA VIFAA KINGA KUKABILIANA NA CORONA


Wazalishaji wa dawa,vifaa na vifaa tiba wakionesha nguo ya kujikinga ambayo itaanza kutengeneza na baadhi ya viwanda nchini.
Waziri Ummy Mwalimu na Waziri Innocent Bashungwa wakiwa kwenye kikao na Umoja wa wazalishaji wa Dawa, Vifaa na Vifaa Tiba wakati wa mkutano huo

Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na Umoja wa Wazalishaji Dawa, Vifaa na Vifaa Tiba (TPMA) nchini wakati wa kikao cha kujadili namna ya uzalishaji wa vifaa kinga vya kukabiliana na...

 

5 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA VIWANDA KUZALISHA UNGA WALALAMIKIA KUSHUKA KWA UZALISHAJI


NA DENIS MLOWE, IRINGA

WAMILIKI wa viwanda vya kuzalisha unga wa sembena wafanyabiashara wa chakula ‘mama lishe’ mkoani Iringa wamelalamika kuporomoka kwa uzalishaji na wateja kutokana na janga la Corona linaloendelea duniani kote.

Wakizungumza na mwanahabari wamiliki hao wamesema kwamba hali ya sasa ya uzalishaji imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na biashara hiyo kuathiriwa na kuenea kwa virus vya corona nchini.

Mmoja wa wa wamiliki hao, Alfred Mpanga mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha...

 

5 years ago

Michuzi

BASHUNGWA AWAELEKEZA WAMILIKI WA VIWANDA KUZALISHA VIFAA KINGA VYA KUTOSHA KUKABILIANA NA CORONA.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Innocent Bashungwa Pamoja na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu wameendesha Kikao cha Wadau kujadili upatikanaji na uzalishaji wa vifaa kinga kwa ajili ya kujikinga na COVID – 19 leo tarehe 13.05.2020 jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amewapongeza wamiliki wa viwanda hivyo kwa kubuni na kugundua teknolojia na uzalishaji wa vifaa kinga kwa ajili ya kupambana na ugonjwa huo....

 

5 years ago

Michuzi

UKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema atachukua hatua kwa Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs) zinazouza barakoa kwa gharama kubwa.

Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: NUSURA WATOTO WANIVUE NGUO

Stori: SHANI RAMADHAN
MWIGIZAJI mahiri Bongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa amenusurika kuvuliwa nguo na watoto ambao walipandwa na midadi baada ya kumuona ‘live’. Rose Ndauka. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika sherehe ya arobaini ya mwanaye iliyofanyika nyumbani kwao, Tandale-Tanesco, jijini Dar ambapo watoto hao walimvizia Rose alipotoka nje, walimvaa na kuanza kumng’ang’ania nguo....

 

10 years ago

Habarileo

Watoto yatima Temeke wapewa vyakula, nguo

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundition (SVF), linalojishughulisha na kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, limetoa msaada wa vyakula, nguo na mafuta ya kula kwa watoto yatima wanaoishi kwenye kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chamazi Manispaa ya Temeke.

 

10 years ago

Michuzi

MKE WA BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA MUHIMBILI NA KUTOA MSAADA MASHUKA NA NGUO ZA WATOTO

Mke wa Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Bi. Yesim Davutoglu ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili nakutoa msaada wa mashuka na nguo kwa watoto waliolazwa Hospitalini hapa. Bi. Davutoglu amesema ameguswa kutoa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani