ROSE NDAUKA: NUSURA WATOTO WANIVUE NGUO

Stori: SHANI RAMADHAN MWIGIZAJI mahiri Bongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa amenusurika kuvuliwa nguo na watoto ambao walipandwa na midadi baada ya kumuona ‘live’. Rose Ndauka. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika sherehe ya arobaini ya mwanaye iliyofanyika nyumbani kwao, Tandale-Tanesco, jijini Dar ambapo watoto hao walimvizia Rose alipotoka nje, walimvaa na kuanza kumng’ang’ania nguo....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLROSE NDAUKA ATOA ZAWADI KWA WATOTO WALEMAVU
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Picha: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Watembelea Kituo cha Watoto Wenye Changamoto za Kimaisha
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya jana akiwa paomja na team yake ya Rozzie ambao ni watoaji wa jarida la kila wiki la Rozzie walitembelea kituo kimoja cha kulelea watoto wenye changamoto mbali mbali hapa jiji Dar es salaam, mbali na kutoa msaada mbali mbali, Rose na team yake walishiriki michezo mbali mbali na watoto hao.
“Si kitu kibaya kutenga muda wa kuwafariji wenzetu wenye matatizo, Jumapili ya jana ilikuwa nzuri sana kwa upande wetu tuliweza kuwakilisha vizuri tu na...
11 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
GPL
ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...