ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMJxrKNqOuR-M4fDCPv1x9H*oBGThNbC4V1h-jNEeF2F7BAgNmz*LDit-JsHLN2opGnrrt6IZYC9IDVNyeDzY3v/GGGGHVV.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4*HlhbisNz6nt9-5LHlOq6tf*OGSTh5Z7-8pquj05OtNzVnd-UTr8RDNWQLOS0y9imxc157Xw67RY5exOgtEjl/ROSE.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI
11 years ago
GPLROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZZBD8YLdGNM--jthscytZ1DZwMgTeVLw4J7C*ksRkqGcDCksC4VD115XWeZF36O3WKcWlWP3ktG5y-A5Zaf9I88/ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA