ROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!
![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMJxrKNqOuR-M4fDCPv1x9H*oBGThNbC4V1h-jNEeF2F7BAgNmz*LDit-JsHLN2opGnrrt6IZYC9IDVNyeDzY3v/GGGGHVV.jpg?width=650)
BRIGHTON MASALU MAHABA niue! Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’ wamenaswa ‘laivu’ wakiwa katika mapozi ya kimahaba mazito jambo lililozua minong’ono miongoni mwa wengi. Staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka akiwa na Prodyuza wa Lebo ya AM Records, Emmanuel Saimon Sawando ‘Manecky’. Tukio hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zQ2pP5BJqrXBDSgnS-2sNGPjv8St-h*VQh5tU8NWuDf42EIFp*HK2qVLcET4hC9Yagc1UXnOFzJy103Gvfrv-EbNoryJo9nO/Ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA, MANECKY PENZI ZITO!
10 years ago
Bongo Movies02 Apr
Mapya Yaibuka Kuhusu Rose Ndauka na Manecky
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Rose Ndauka sasa Ndauka kwa sasa anadaiwa kuzama kwenye penzi zito la Prodyuza wa Bongo Fleva, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’ hii ni baada ya mahusina na mzazi mwenzie, Malick Bandawe kuvunjika.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Amani, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine. “Rose na Manecky ni wapenzi kwani...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPLROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4*HlhbisNz6nt9-5LHlOq6tf*OGSTh5Z7-8pquj05OtNzVnd-UTr8RDNWQLOS0y9imxc157Xw67RY5exOgtEjl/ROSE.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI