Picha: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Watembelea Kituo cha Watoto Wenye Changamoto za Kimaisha
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya jana akiwa paomja na team yake ya Rozzie ambao ni watoaji wa jarida la kila wiki la Rozzie walitembelea kituo kimoja cha kulelea watoto wenye changamoto mbali mbali hapa jiji Dar es salaam, mbali na kutoa msaada mbali mbali, Rose na team yake walishiriki michezo mbali mbali na watoto hao.
“Si kitu kibaya kutenga muda wa kuwafariji wenzetu wenye matatizo, Jumapili ya jana ilikuwa nzuri sana kwa upande wetu tuliweza kuwakilisha vizuri tu na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!
NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA
WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya tishio hilo la kuawa lakini pia wamekuwa wakifanyiwa vitendo wa ukatili ikiwemo kubakwa.
Mwandishi wa gazeti hili, Machi 10, mwaka huu alitembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga na kukutana na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye alifanyiwa ukatili...
11 years ago
Dewji Blog19 Jul
TWB na TWA wafanya mafunzo kituo cha kinamama wenye Watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa Ubongo na Mgongo wazi Chawawaki Kigamboni
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement (TWA).
Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa...
10 years ago
VijimamboMAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA
11 years ago
MichuziTWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
5 years ago
MichuziDC MBONEKO AONGOZA KIKUNDI CHA WANAWAKE NA MABADILIKO KUKABIDHI BWENI KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA
Kikundi cha Wanawake na Mabadiliko Manispaa ya Shinyanga (Women For Change - WFC) kimekabidhi bweni walilokarabati kwenye kituo cha kulea watoto wenye ulemavu mbalimbali cha Buhangija Jumuishi, wakiwamo na watoto wenye ualbino kwa ajili ya kuwaweka katika mazingira mazuri. Zoezi la kukabidhi bweni ambalo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, limefanyika leo Alhamis Machi 5, 2020 ambapo mgeni Rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, huku hafla hiyo fupi...
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno chatoa huduma ya bure katika kituo cha watoto wenye Albinism
Raisi Mstaafu wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno na Daktari Bingwa wa Watoto Rachel Mhavile toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, akifanya ukaguzi wa kinywa na Meno kwa Kuyela Masuka, aliyeanguka toka juu ya mti nakusababisha jino lake lambele juu kushotolikawa linaninginia na kunadaktari aliye jaribu kulirudishia lakini tiba hiyo ikamshinda kwa sababu hakua amepiga mswaki vuzuri na kumsababishia kupata maambukizi na kushindwa kufumba mdomo na kutokula chakula, matibabu aliyoyapata...
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-431cJ27sTJI/VNs0d1-2L_I/AAAAAAAHDC4/Z2LiAqyPdfU/s72-c/001.MALAIKA.jpg)
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MALAIKA KINONDONI
![](http://2.bp.blogspot.com/-431cJ27sTJI/VNs0d1-2L_I/AAAAAAAHDC4/Z2LiAqyPdfU/s1600/001.MALAIKA.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XtkayuRkDNQ/VNs0dEoBt8I/AAAAAAAHDC0/Bt2UNOeu2YU/s1600/002.MALAIKA.jpg)