Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWB na TWA wafanya mafunzo kituo cha kinamama wenye Watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa Ubongo na Mgongo wazi Chawawaki Kigamboni

1

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement (TWA).

3

Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TWA NA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) WAFANYA MAFUNZO KITUO CHA KINAMAMA WENYE WATOTO WENYE UGONJWA WA MTINDIO WA UBONGO NA MGONGO WAZI CHAWAWAKI KIGAMBONI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) Bi. Margaret Chacha akizungumza na kikundi cha kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa ubongo na mgongo wazi kituo cha kigamboni(Chawawaki), wakati ya mafunzo ya ujasiriamali na kuwaelimisha juu ya fursa zinazotolewa na benki ya TWB, Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Tanzania Women Of Achievement(TWA)  Mwenyekiti wa Tanzania Women Of Achievement(TWA) Bi.Sadaka Gandi akizungumza na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa...

 

11 years ago

GPL

TAASISI YA TWA YASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KITUO CHA CHAWAWAKI MJI MWEMA KIGAMBONI

Mrembo wa Tanzania Happiness Watimanywa akikabidhi baiskeli kwa mwenyekiti wa Chawawaki Bi. Reberata Jovin kwenye sherehe zenye lengo la kusaidia kikundi hicho, ambazo zimeandaliwa na taasisi ya TWA. Mshauri nasaha na mtoa mafunzo wa CCBRT,Bi. Mgaya Mhamanda akiongea na kinamama wenye watoto wenye ugonjwa wa mtindio wa…

 

10 years ago

Vijimambo

HUDUMA YA UPASUAJI WA WATOTO WENYE UGONJWA WA KICHWA KUJAA MAJI NA MGONGO WAZI YAZINDULIWA RASMI KATIKA HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KAGERA


Na Faustine Ruta, Bukoba
Shirika lisilokuwa la serikali la Friends of Children with Cancer Tanzania (FOCC TZ) lazindua rasmi huduma ya upasuaji wa watoto wenye ugonjwa wa vichwa kujaa maji na mgongo wazi mkoani Kagera katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa ambapo jumla ya watoto arobaini wenye tatizo hilo wanatajiwa kufanyiwa upasuaji kuanzia Julai 25-26, 2015. Mkurugenzi wa shirika la FOCCTZ Bw. Walter Miya katika uzinduzi huo alisema kuwa baada ya kutoa matangazo kupitia redio za jamii mkoani...

 

10 years ago

Mwananchi

Yataka moyo kufundisha watoto wenye mtindio wa ubongo

Umekwenda kumtembelea ndugu yako mwalimu anayefundisha shule fulani bila kufahamu anawafundisha wanafunzi wa aina gani. Unafika shuleni hapo na kumkuta anawabembeleza wanafunzi kuingia darasani, huku wengine wakipigana na wengine wakifanya fujo za kila aina.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NIC ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA ILIYOPO SAKINA KWA IDD

 Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.
 Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC  Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya siku ya watu na watoto wenye mtindio wa Ubongo kufanyika Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.

Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza...

 

9 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza katika...

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar

Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya vitabu kwa mmoja wa Mwanafunzi mwenye mtindio wa Ubongo wanaosoma Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.Farida Foundation imetoa vifaa mbali mbali vya kusomea kwa watoto hao wenye mtindio wa Ubongo waliopo kwenye Shule hiyo.Taasisi hiyo ya Farida Foundation imekuwa ikisaidia Walemavu wa aina zote watoto, vijana na watu wazima waliopo Tanzania nzima mpaka sasa imeshasaidia walemavu zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani