ROSE NDAUKA ATOA ZAWADI KWA WATOTO WALEMAVU
          Rose Ndauka akihojiana na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari kabla ya kuonana na watoto hao. Mkurugenzi wa shule hiyo, Wilson  Chacha, akizungumza na waandishi kuhusu matatizo yanayowakabili kituoni hapo hasa watoto wanaoondoka shuleni na kushindwa kurejea kutokana na ukosefu wa nauli za kurudi shuleni hapo. Rose Naduka… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WALEMAVU WAMDONDOSHA CHOZI ROSE NDAUKA
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Walemavu Wamdondosha Chozi Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka hivi karibu alijikuta akimwaga machozi baada ya kutembelea shule ya watoto wenye ulemavu ya Salvition Army, iliyopo Kurasini jijini Dar.
Staa huyo akiwa na timu yake ya Rozzie Magazine, walibeba misaada mbalimbali ikiwemo mchele, mafuta, maharage na sukari ambapo mara baada ya kufika kwenye ukumbi maalum uliotaarishwa kwa ajili ya kuzungumza na watoto hao, alishikwa na moyo wa huruma na kudondosha machozi.
Kuna kitu nimejifunza hata kama hatuna tunahitaji...
10 years ago
Bongo Movies17 Jun
Rose Ndauka Atoa Somo Kwa Wateja Wa DCB Commercial Bank Plc Katika Filamu Desire to Succeed
Filamu ya Kuelimisha jamii Inayojulikana kama DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO) kuzinduliwa Siku ya Jumamosi tarehe 25 Juni 2015, Saa 12.00 Jioni katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX Dar Free Market.
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Rose Ndauka pamoja na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu wameshiriki katika sinema maalum kwa ajili ya kuelimisha jamii kuhusu huduma za Benki ya DCB Commercial Bank ambapo wateja wa Benki hiyo na wateja wapya watatambua huduma na faida...
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA: NUSURA WATOTO WANIVUE NGUO
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA ZAWADI ZA SIKUKUU YA KRISMASI KWA WATOTO WANAOISHI KWENYE KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WA KIJIJI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA.
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Picha: Rose Ndauka Akiwa na Rozzie Family Watembelea Kituo cha Watoto Wenye Changamoto za Kimaisha
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka siku ya jana akiwa paomja na team yake ya Rozzie ambao ni watoaji wa jarida la kila wiki la Rozzie walitembelea kituo kimoja cha kulelea watoto wenye changamoto mbali mbali hapa jiji Dar es salaam, mbali na kutoa msaada mbali mbali, Rose na team yake walishiriki michezo mbali mbali na watoto hao.
“Si kitu kibaya kutenga muda wa kuwafariji wenzetu wenye matatizo, Jumapili ya jana ilikuwa nzuri sana kwa upande wetu tuliweza kuwakilisha vizuri tu na...
5 years ago
Michuzi
Waziri Kairuki Atoa Misaada Vituo vya Watoto Yatima na Walemavu Same

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu akikabidhi baadhi ya misaada katika kituo cha kulelea watoto yatima kama picha inavyoonekana

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu

Waziri Angela Kairuki akikabidhi vifaa mbalimbali kwa watoto pamoja pampers na sabuni pamoja na vyakula katika...
11 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE