Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rose Ndauka Atoa Somo Kwa Wateja Wa DCB Commercial Bank Plc Katika Filamu Desire to Succeed

Filamu ya Kuelimisha jamii Inayojulikana kama DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO) kuzinduliwa Siku ya Jumamosi tarehe 25 Juni 2015, Saa 12.00 Jioni katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX Dar Free Market.
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Rose Ndauka pamoja na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu wameshiriki katika sinema maalum kwa ajili ya kuelimisha jamii kuhusu huduma za Benki ya DCB Commercial Bank ambapo wateja wa Benki hiyo na wateja wapya watatambua huduma na faida...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DCB COMMERCIAL BANK KUZINDUA FILAMU YA ‘HAMU YA MAFANIKIO’

Meneja Masoko wa DCB, Boyd Mwaisame (aliyesimama),  akizungumza jambo kabla ya mkutano na wanahabari. Meneja Mkuu wa DCB, Haika Machaku (kushoto), akielezea suala fulani. Mtsimbe (katikati) akizungumza kwenye hafla hiyo, kulia ni mwigizaji…

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA HAMU YA MAFANIKIO ‘DESIRE TO SUCCEED’ IMENDULIWA JANA

 Na Bakari  Issa Madjeshi,Globu ya jamii. Filamu ya Kiswahili ijulikanayo kama  Hamu ya Mafanikio ilizinduliwa rasmi  jana na Benki ya DCB katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Filamu hiyo imeandaliwa na DCB Commercial Benki kwa kushirikiana na Kampuni ya ConsNet,yenye lengo la kuelimisha na kuhamasisha  wateja, wadau na umma kwa ujumla juu ya umuhimu na faida za kufanya shughuli za kibenki na DCB ambazo zinabadili maisha ya wateja kwa kiasi kikubwa. Akizungumza katika...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ATOA ZAWADI KWA WATOTO WALEMAVU

           Rose Ndauka akihojiana na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari kabla ya kuonana na watoto hao. Mkurugenzi wa shule hiyo,  Wilson  Chacha, akizungumza na waandishi kuhusu matatizo yanayowakabili kituoni hapo hasa watoto wanaoondoka shuleni na kushindwa kurejea kutokana na ukosefu wa  nauli za kurudi shuleni hapo. Rose Naduka… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP‏‎

 wa Tatu kutoka (kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji  wa DCB  Commercial Bank Plc  Bw. Edmund Mkwawa wa pili kutoka (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa My way Entertainment Paul Mganga,wa Kwanza (kulia) ni Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Tanzania Bankers and Public Funds Cup 2015 David Manoti, wa pili  (Kushoto) Samweli Mahendeka Agency Banking Manager ambaye pia ni Kapteni wa Timu ya Benki ya DCB wa tatu (kushoto) ni ni Product Development and Marketing Manager wa DCB Commercial Bank Plc Bw. Boyd...

 

10 years ago

GPL

DCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP‏‏

 Mkurugenzi Mtendaji  wa DCB  Commercial Bank Plc  Bw. Edmund Mkwawa (wa tatu kutoka kulia) na wa pili kutoka (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa My way Entertainment Paul Mganga,wa Kwanza (kulia) ni Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Tanzania Bankers and Public Funds Cup 2015 David Manoti, wa pili  (Kushoto) Samweli Mahendeka Agency Banking Manager ambaye pia ni Kapteni wa Timu ya Benki ya DCB wa tatu (kushoto) ni...

 

10 years ago

Michuzi

DCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP‏‏‎

 Mkurugenzi Mtendaji  wa DCB  Commercial Bank Plc  Bw. Edmund Mkwawa akiongea na Waandishi wa Habari Makao makuu ya Benki ya  DCB Benki ya DCB imethibitisha kushiriki katika Mashindano ya  Tanzania Bankers and Public Funds Cup 2015, hayo yalisemwa  na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bwana Edmund Mkwawa akiongea na waandishi wa Habari , alisema  Timu yao tayari imesha anza kufanya mazoezi ya kujiandaa na mashindano hayo tangu mwezi wa pili mwaka huu 2015 na kuwa timu ipo katika hari nzuri...

 

10 years ago

Mtanzania

Rose Ndauka: Sisikitiki kukosa tuzo za filamu

rose_ndauka_2012NA RHOBI CHACHA

WAKATI tuzo ya mwigizaji bora wa kike ikienda kwa Irene Paul, mwigizaji mwenzake, Rose Ndauka ameibuka na kukubali matokeo hayo huku akidai wakati alipopata tuzo nyingine wengine hawakupata.

Rose Ndauka alikubali kwamba aliyestahili ni Irene Paul kwa kuwa ni changamoto kwake na kwa wasanii wengine.

“Nakubaliana na matokeo sisikitiki kukosa tuzo hiyo, siwezi kuwalalamikia wananchi kwani wao ndio walioona filamu zilizoshindanishwa wakachagua,’’ alisema Rose na kuongeza:

“Kwenye...

 

10 years ago

Bongo Movies

KALEKWA:Filamu Mpya ya Richie na Rose Ndauka Tayari Kuingia Sokoni

Ile filamu iliyokuwa ikusubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi,sasa ipo tayari imeshakamilika na inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la KALEKWA imefanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, na inawajumuisha waigiza Single Mtambalike ‘Richie’ na Rose Ndauka ambao kwa pamoja wamekuwa wakitengeneza mvuto mkumbwa kwa mashabika na wapenzi wa filamu hapa inchini.

Jana kupitia ukurasa wake kwenye  mtandao wa instagram, Richie ambaye ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani