Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KALEKWA:Filamu Mpya ya Richie na Rose Ndauka Tayari Kuingia Sokoni

Ile filamu iliyokuwa ikusubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi,sasa ipo tayari imeshakamilika na inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la KALEKWA imefanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, na inawajumuisha waigiza Single Mtambalike ‘Richie’ na Rose Ndauka ambao kwa pamoja wamekuwa wakitengeneza mvuto mkumbwa kwa mashabika na wapenzi wa filamu hapa inchini.

Jana kupitia ukurasa wake kwenye  mtandao wa instagram, Richie ambaye ndio...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.

Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo  Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.

Tunaisubiri kwa hamu!!!.

 

10 years ago

Bongo Movies

TETESI:Rose Ndauka na Richie Warudiana!!!!

Waigizaji wa filamu wa hapa bongo waliowahi kuwa wapenzi enzi hizo, Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie’ wanadaiwa kurudiana na hivi sasa ni mapenzi motomoto!Kwa mujibu wa chanzo, Rose na Richie wamedaiwa kurudiana baada ya mwanadada huyo kumwagana na mzazi mwenzake, Malick Bandawe miezi ya hivi karibuni.

“Hivi nyie wadaku mnajua Rose Ndauka na Richie sasa hivi ni mahaba niue kama zamani? Wamekuwa wakigandana na mara nyingine hupatikana maeneo ya Bahari Beach (jijini Dar) kiasi kwamba...

 

10 years ago

GPL

MADAI MAZITO ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA

Staa  wa sinema Bongo, Rose Ndauka akifurahia jambo. Na Waandishi Wetu
MASTAA  wa sinema waliowahi kuwa wapenzi enzi hizo, Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie’ wanadaiwa kurudiana na hivi sasa ni mapenzi motomoto!Kwa mujibu wa chanzo, Rose na Richie wamedaiwa kurudiana baada ya mwanadada huyo kumwagana na mzazi mwenzake, Malick Bandawe miezi ya hivi karibuni. “Hivi nyie wadaku mnajua Rose Ndauka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula

Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji  Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.

Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika  kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...

 

9 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: NIPO TAYARI KUOLEWA NA YEYOTE!

ROSE Donatus Anjelus Ndauka ‘mtata’ amesema kama mwanamke aliyekamilika na mwenye kuhitaji heshima katika jamii, yupo tayari kuolewa na kuishi kama mama na mwanaume yeyote. Akichonga na Amani, Rose alisema japo mume bora anatoka kwa Mungu na kwamba anangojea aliye chaguo lake, lakini amechoshwa na hali ya kuishi bila ndoa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1NwqcvE ...

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO

Aisha Bui akiwa na Gabo katika moja ya scene... AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni siku ya jumatatu, itadhihiri kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi. Aisha… ...

 

10 years ago

Mtanzania

Rose Ndauka: Sisikitiki kukosa tuzo za filamu

rose_ndauka_2012NA RHOBI CHACHA

WAKATI tuzo ya mwigizaji bora wa kike ikienda kwa Irene Paul, mwigizaji mwenzake, Rose Ndauka ameibuka na kukubali matokeo hayo huku akidai wakati alipopata tuzo nyingine wengine hawakupata.

Rose Ndauka alikubali kwamba aliyestahili ni Irene Paul kwa kuwa ni changamoto kwake na kwa wasanii wengine.

“Nakubaliana na matokeo sisikitiki kukosa tuzo hiyo, siwezi kuwalalamikia wananchi kwani wao ndio walioona filamu zilizoshindanishwa wakachagua,’’ alisema Rose na kuongeza:

“Kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO JUMATATU

 AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni leo, itadhihirisha  kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika. Ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi.“Najua kila mtu anakuwa na uwezo wake katika filamu lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi ndio maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu. Wiki hii Yuneda Entertainment...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani