Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula
Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Dhana: Kazi Mpya ya Riyama, Kaa Mkao wa Kula
Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;
“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula”
Tukae mkao wa kula,tuisubiri
11 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboKIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA
10 years ago
Bongo Movies25 Dec
TETESI:Rose Ndauka na Richie Warudiana!!!!
Waigizaji wa filamu wa hapa bongo waliowahi kuwa wapenzi enzi hizo, Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie’ wanadaiwa kurudiana na hivi sasa ni mapenzi motomoto!Kwa mujibu wa chanzo, Rose na Richie wamedaiwa kurudiana baada ya mwanadada huyo kumwagana na mzazi mwenzake, Malick Bandawe miezi ya hivi karibuni.
“Hivi nyie wadaku mnajua Rose Ndauka na Richie sasa hivi ni mahaba niue kama zamani? Wamekuwa wakigandana na mara nyingine hupatikana maeneo ya Bahari Beach (jijini Dar) kiasi kwamba...
10 years ago
GPL
MADAI MAZITO ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA
10 years ago
Bongo Movies08 Jan
KALEKWA:Filamu Mpya ya Richie na Rose Ndauka Tayari Kuingia Sokoni
Ile filamu iliyokuwa ikusubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi,sasa ipo tayari imeshakamilika na inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.
Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la KALEKWA imefanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, na inawajumuisha waigiza Single Mtambalike ‘Richie’ na Rose Ndauka ambao kwa pamoja wamekuwa wakitengeneza mvuto mkumbwa kwa mashabika na wapenzi wa filamu hapa inchini.
Jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Richie ambaye ndio...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Kwa kuwa tuna mkao wa kula badala ya msimamo,mwisho mikono yote itamega matonge ya ugali wetu pamoja
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.