DCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP
Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Commercial Bank Plc Bw. Edmund Mkwawa akiongea na Waandishi wa Habari Makao makuu ya Benki ya DCB Benki ya DCB imethibitisha kushiriki katika Mashindano ya Tanzania Bankers and Public Funds Cup 2015, hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bwana Edmund Mkwawa akiongea na waandishi wa Habari , alisema Timu yao tayari imesha anza kufanya mazoezi ya kujiandaa na mashindano hayo tangu mwezi wa pili mwaka huu 2015 na kuwa timu ipo katika hari nzuri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP
10 years ago
GPLDCB COMMERCIAL BANK WADHAMINI MASHINDANO YA TANZANIA BANKERS & PUBLIC FUNDS CUP
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3H9CbNacY84/default.jpg)
10 years ago
GPLDCB COMMERCIAL BANK KUZINDUA FILAMU YA ‘HAMU YA MAFANIKIO’
10 years ago
Bongo Movies17 Jun
Rose Ndauka Atoa Somo Kwa Wateja Wa DCB Commercial Bank Plc Katika Filamu Desire to Succeed
Filamu ya Kuelimisha jamii Inayojulikana kama DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO) kuzinduliwa Siku ya Jumamosi tarehe 25 Juni 2015, Saa 12.00 Jioni katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX Dar Free Market.
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Rose Ndauka pamoja na wasanii wengine wakali katika tasnia ya filamu wameshiriki katika sinema maalum kwa ajili ya kuelimisha jamii kuhusu huduma za Benki ya DCB Commercial Bank ambapo wateja wa Benki hiyo na wateja wapya watatambua huduma na faida...
9 years ago
GPLWADHAMINI WA LIGI YA BODABODA KIPUNGUNI "B" MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WAFUNGUA RASMI MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU
10 years ago
GPLMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR
10 years ago
GPLWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAMTUNZA MANDAWA
10 years ago
GPLMSTAHIKI MEYA WA ILALA JERRY SILAA ASHUSHA NEEMA KWA SHULE YA MSINGI KIVULE