WALEMAVU WAMDONDOSHA CHOZI ROSE NDAUKA
Stori: IMELDA MTEMA STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibu alijikuta akimwaga machozi baada ya kutembelea shule ya watoto wenye ulemavu ya Salvition Army, iliyopo Kurasini jijini Dar. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Staa huyo akiwa na timu yake ya Rozzie Magazine, walibeba misaada mbalimbali ikiwemo mchele, mafuta, maharage na sukari ambapo mara baada ya kufika kwenye ukumbi maalum uliotaarishwa kwa ajili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Walemavu Wamdondosha Chozi Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka hivi karibu alijikuta akimwaga machozi baada ya kutembelea shule ya watoto wenye ulemavu ya Salvition Army, iliyopo Kurasini jijini Dar.
Staa huyo akiwa na timu yake ya Rozzie Magazine, walibeba misaada mbalimbali ikiwemo mchele, mafuta, maharage na sukari ambapo mara baada ya kufika kwenye ukumbi maalum uliotaarishwa kwa ajili ya kuzungumza na watoto hao, alishikwa na moyo wa huruma na kudondosha machozi.
Kuna kitu nimejifunza hata kama hatuna tunahitaji...
10 years ago
GPLROSE NDAUKA ATOA ZAWADI KWA WATOTO WALEMAVU
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Amber Rose adondosha chozi kisa Kanye West
LOS ANGELES, MAREKANI
ALIYEKUWA mpenzi wa zamani wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Amber Rose, juzi alidondosha
chozi baada ya kukumbuka maneno ya Kanye West pindi walipokuwa wapenzi.
Februari mwaka huu Kanye West kupitia radio ya Power 105.1 kwenye kipindi cha The Breakfast Club ya nchini Marekani, alisikika akisema kuwa ‘Ni vigumu kuishi na mwanamke kama Amber Rose, hata wanawake wenzake inakuwa ngumu, baada ya kuachana naye nilitumia nusu saa kumfikiria Kim...
11 years ago
GPLROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
GPLROSE NDAUKA HAKAMATIKI
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.
10 years ago
GPLROSE NDAUKA, MANECKY LAIVU!