Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amber Rose adondosha chozi kisa Kanye West

amber-rose-kanye-westLOS ANGELES, MAREKANI

ALIYEKUWA mpenzi wa zamani wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Amber Rose, juzi alidondosha
chozi baada ya kukumbuka maneno ya Kanye West pindi walipokuwa wapenzi.

Februari mwaka huu Kanye West kupitia radio ya Power 105.1 kwenye kipindi cha The Breakfast Club ya nchini Marekani, alisikika akisema kuwa ‘Ni vigumu kuishi na mwanamke kama Amber Rose, hata wanawake wenzake inakuwa ngumu, baada ya kuachana naye nilitumia nusu saa kumfikiria Kim...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMBER ROSE AVUJISHA SIRI ZA KANYE WEST

Mwanamitindo, Amber Rose. Los Angeles, Marekani KIMENUKA! Ndiyo neno sahihi unaloweza kulitumia baada ya mwanamitindo, Amber Rose, kuanza kuvujisha siri za aliyekuwa mpenzi wake, Kanye West.Katika siku za hivi karibuni, uhusiano kati ya Amber na Kim Kardashian ambaye ndiye mke wa sasa wa Kanye, umekuwa siyo mzuri na wamekuwa wakipigana vijembe, jambo linaloonekana kumshawishi Amber kuanza kutupa madongo. Kanye West. Amber, 31,...

 

10 years ago

Bongo5

Amber Rose amchana Kanye West kuwa huandikiwa nyimbo zake

Amber Rose amemchana mpenzi wake wa zamani, Kanye West. Wakati wa show kwenye kiota cha Supperclub huko L.A., Rose aliongea maneno yaliyoashiria kuwa nyimbo za Kanye West huandikwa Travi$ Scott. “Stop playing n**gas I used to f**k,” Amber aliyekuwa amelewa alimwambia. “Why don’t we play the ni**a that writes the songs for the other ni**a—Travi$ […]

 

9 years ago

Bongo5

Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose

Mrembo na mke wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose alijikuta akibubujikwa na machozi wakati akiongea na umati wa watu kwenye tukio la SlutWalk jijini Los Angeles, Jumamosi iliyopita. Rose, 31, aliandaa tukio hilo ambalo pia mama yake alimuunga mkono ambapo kwenye hotuba yake aliuambia umati kuwa imemchukua muda mrefu kuweza kuwasamehe maex wake Kanye […]

 

9 years ago

Mtanzania

KARRUECHE ADONDOSHA CHOZI NIGERIA

image-7ABUJA, NIGERIA

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa RnB nchini Marekani Chris Brown, Karrueche Tran, amejikuta akidondosha chozi baada ya kukutana na watoto yatima nchini Nigeria.

Mrembo huyo alikuwa nchini humo kuongoza sherehe za Pool Party mjini Abuja, lakini aliamua kutembelea kwenye
kituo cha watoto yatima cha IDP Camp, ambapo aliwakuta watoto hao wakiwa wamevaa T-shirt zilizoandikwa
‘Bring Back Our Girls’ (‘Wasichana wetu warudishwe’) Inakumbukwa kuna wasichana wengi ambao wametekwa nchini...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Obama Adondosha Chozi Hadharani Akitetea Hoja

ObamaRais Barack Obama akitokwa. Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani ili kupunguza idadi ya watu wanaoshambuliwa na kuuawa kwa risasi nchini humo. Obama aliwaambia Wamarekani kwamba mageuzi anayoyatete  ni kwa manufaa yao wenyewe kwa kuwa yeye huu ni mwaka wake wa mwisho kukaa madarakani na wala hana mpango wa kugombea tena. Rais Obama anataka watu wote wanaouza silaha washurutishwe kuwapekua na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ugumba Wamtesa Wema, Adondosha Chozi Mara kwa Mara!

Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.

Akizungumza na gazeti la Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani.

Alisema kwamba, amekuwa akishinda akilia kila anapokutana na shosti wake wa sasa, Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.Wema alitiririka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West

Kim Kardashian West na Kanye West wamempa mtoto wao wa pili jina Saint West.

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU WAMDONDOSHA CHOZI ROSE NDAUKA

Stori: IMELDA MTEMA
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibu alijikuta akimwaga machozi baada ya kutembelea shule ya watoto wenye ulemavu ya Salvition Army, iliyopo Kurasini jijini Dar. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Staa huyo akiwa na timu yake ya Rozzie Magazine, walibeba misaada mbalimbali ikiwemo mchele, mafuta, maharage na sukari ambapo mara baada ya kufika kwenye ukumbi maalum uliotaarishwa kwa ajili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani