AMBER ROSE AVUJISHA SIRI ZA KANYE WEST
![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLSxuYeKb3HaCAJomOeW8FDeHYRQKCI5jzpFlgstCBcSHYBp2lHfDu2oeni1z2mkynmTGU4YwpcOaXkGfVjfpUz/amberrose.jpg?width=650)
Mwanamitindo, Amber Rose. Los Angeles, Marekani KIMENUKA! Ndiyo neno sahihi unaloweza kulitumia baada ya mwanamitindo, Amber Rose, kuanza kuvujisha siri za aliyekuwa mpenzi wake, Kanye West.Katika siku za hivi karibuni, uhusiano kati ya Amber na Kim Kardashian ambaye ndiye mke wa sasa wa Kanye, umekuwa siyo mzuri na wamekuwa wakipigana vijembe, jambo linaloonekana kumshawishi Amber kuanza kutupa madongo. Kanye West. Amber, 31,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Amber Rose adondosha chozi kisa Kanye West
LOS ANGELES, MAREKANI
ALIYEKUWA mpenzi wa zamani wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Amber Rose, juzi alidondosha
chozi baada ya kukumbuka maneno ya Kanye West pindi walipokuwa wapenzi.
Februari mwaka huu Kanye West kupitia radio ya Power 105.1 kwenye kipindi cha The Breakfast Club ya nchini Marekani, alisikika akisema kuwa ‘Ni vigumu kuishi na mwanamke kama Amber Rose, hata wanawake wenzake inakuwa ngumu, baada ya kuachana naye nilitumia nusu saa kumfikiria Kim...
10 years ago
Bongo509 May
Amber Rose amchana Kanye West kuwa huandikiwa nyimbo zake
9 years ago
Bongo505 Oct
Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Dk. Slaa avujisha siri
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema wamenasa nyaraka na viashiria mbalimbali vinavyoonyesha kuwa Chama Cha Mapinduzi kinakusudia kuharibu mchakato wa katiba. Dk. Slaa,...
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
9 years ago
Mtanzania28 Nov
AMBER ROSE ATEKWA NA MR. IBU
MPENZI wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose, ameonekana kuvutiwa na mwigizaji kutoka nchini Nigeria,
John Okafor ‘Mr Ibu’ kutokana na filamu yake ya Sugar Daddy.
Filamu hiyo ya Sugar Daddy imefanya vizuri nchini Nigeria, lakini kwa sasa imevuka mipaka ambapo imefika
nchini Marekani na kumgusa mrembo huyo.
Kupitia Instagram, Amber Rose aliweka picha ya msanii huyo na kudai kwamba ni ‘bonge la msanii’ ambaye
anavutiwa naye.
“Mr Ibu, anafanya vizuri, nimependa kile ambacho amekifanya...
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...