AMBER ROSE ATEKWA NA MR. IBU
MPENZI wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose, ameonekana kuvutiwa na mwigizaji kutoka nchini Nigeria,
John Okafor ‘Mr Ibu’ kutokana na filamu yake ya Sugar Daddy.
Filamu hiyo ya Sugar Daddy imefanya vizuri nchini Nigeria, lakini kwa sasa imevuka mipaka ambapo imefika
nchini Marekani na kumgusa mrembo huyo.
Kupitia Instagram, Amber Rose aliweka picha ya msanii huyo na kudai kwamba ni ‘bonge la msanii’ ambaye
anavutiwa naye.
“Mr Ibu, anafanya vizuri, nimependa kile ambacho amekifanya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaembitej3gF6-yzhtbQ3BdWjva306uxWfQKWrz9qFu0a0XEswBWD8YSZJaN3W*b*d3b7Sz5Q7cHJY3TybnxCmvb/Hamisa.jpg?width=650)
HAMISA MABETO KAMA KIM, AMBER ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXXGaBbtdKQ9wXvI23jKXgv15bzpPH7SoEhptU5W0JZwZQY7s1HQd0D75tup*GHOSU-a8D4dk-8rCundWPd3Jm9O/MAMAWEMA.jpg)
ROSE NDAUKA, YA KIM, AMBER HAYAENDANI NA WEWE!
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Amber Rose, Wiz Khalifa wadumisha upendo
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya penzi la Wiz Khalifa na Amber Rose kuyumba, kwa sasa wawili hao wameonekana kulidumisha penzi hilo kwa kufanya mitoko mbalimbali ya wazi.
Tangu warudi kwenye uhusiano miezi miwili iliyopita, kwa sasa wamekuwa wakiwa pamoja mitaani na mtoto wao kwa ajili ya kulitangaza penzi lao jipya.
“Ni furaha kubwa kuona familia ikiweza kulea mtoto, sikukuu hii tumeweza kutoka na mtoto wetu kwa ajili ya kuonesha upendo, tunaweza kuwa familia ya mfano bora,” aliandika Amber...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLSxuYeKb3HaCAJomOeW8FDeHYRQKCI5jzpFlgstCBcSHYBp2lHfDu2oeni1z2mkynmTGU4YwpcOaXkGfVjfpUz/amberrose.jpg?width=650)
AMBER ROSE AVUJISHA SIRI ZA KANYE WEST
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/MAIN-Amber-Rose-has-a-new-man-Odell-Beckham-Jr.jpg)
AMBER ROSE ATOKA NA MWANAMICHEZO ODELL BECKHAM
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Mtoto awarudisha Amber Rose na Wiz Khalifa
Wiz Khalifa akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose.
INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose hivi karibuni walijikuta wakila Sikukuu ya Krismasi kwa pamoja huku sababu kubwa ya kurudiana ikitajwa kuwa ni mtoto wao, Sebastian (4).
Chanzo kilicho karibu na mastaa hao, kinaanika ubuyu kuwa, wawili hao tangu watengane Septemba 2014 kila mmoja amekuwa akila bata kivyake lakini uthibitisho tosha ulijidhihirisha hivi karibuni baada ya Amber kuweka...