HAMISA MABETO KAMA KIM, AMBER ROSE

Na Hamida Hassan Tabia ya mastaa kujipiga picha za nusu utupu wakiwa na mimba haikuwepo Bongo, wamekuwa wakifanya hivyo mastaa wa nje kama vile Kim Kardashian, Amber Rose na wengineo lakini mwanamitindo, Hamisa Mabeto amefanya hivyo kisha kuzitupia picha zake mtandaoni. Hamisa Mabeto. Hamisa alijifungua hivi karibu baada ya kufanikiwa kuificha mimba yake lakini kumbe alijipiga picha hizo za kihasara kisha kuzihifadhi. Hata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ROSE NDAUKA, YA KIM, AMBER HAYAENDANI NA WEWE!
10 years ago
GPL
AMBER ROSE ALIPA KISASI KWA KIM KARDASHIAN
10 years ago
GPL
HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
11 years ago
GPL
HAMISA MABETO: NINA UTAALAM NA NYOKA
10 years ago
GPL
HAMISA MABETO: SIFIKIRII NDOA, NAKULA UJANA
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Ni Kweli Wema Anatamani Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika
HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘ ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.
“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do)...
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Ni Kweli Wema Anatamni Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika