AMBER ROSE ALIPA KISASI KWA KIM KARDASHIAN

Mwanamitindo, Amber Rose. New York, Marekani MWANAMITINDO, Amber Rose hivi karibuni amefanya kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kulipa kisasi kwa mwanamitindo mwenzake, Kim Kardashian cha kummiliki x-boyfriend wake, Kanye West baada ya kuonekana usiku wa manane na aliyekuwa mume wa Kim, 6+99 Kris Humphries. Chanzo kinafunguka kuwa tukio hilo lilijiri kwenye ukumbi wa usiku wa Playboy Mashion. “Amber hakufurahishwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ROSE NDAUKA, YA KIM, AMBER HAYAENDANI NA WEWE!
10 years ago
GPL
HAMISA MABETO KAMA KIM, AMBER ROSE
11 years ago
Michuzi09 Aug
MADA MAUGO ALIPA KISASI CHA KUPIGWA NA THOMASI MASHALI
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters
5 years ago
Cosmopolitan.Com05 Apr
Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight
10 years ago
Dewji Blog02 May
Exclusive gossip: Wabongo ‘wamtibulia’ mwanadada wa Zimbabwe kwa Amber Rose Instagram
Picha hii ndio iliyozua ‘zengwe’ baada ya watanzania waishio Bongo na UK kutukanana matusi na Wazimbabwe waishio Uingereza (UK), ambapo hata hivyo, AmberRrose ameiondoa katika mtandao wake wa Instagram baada ya kuogopa uvunjikaji wa amani baina ya Tanzania na Zimbabwe.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Huenda ujapata kusikia hii ambayo ni mpya kabisa na hata kama umeisikia basi ni juu juu, ukweli ni kuwa, Watanzania mbalimbali ambao wanatumia Instagram (IG ) walio fans wa video queen,...
10 years ago
Bongo505 Oct
Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose