Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KARRUECHE ADONDOSHA CHOZI NIGERIA

image-7ABUJA, NIGERIA

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa RnB nchini Marekani Chris Brown, Karrueche Tran, amejikuta akidondosha chozi baada ya kukutana na watoto yatima nchini Nigeria.

Mrembo huyo alikuwa nchini humo kuongoza sherehe za Pool Party mjini Abuja, lakini aliamua kutembelea kwenye
kituo cha watoto yatima cha IDP Camp, ambapo aliwakuta watoto hao wakiwa wamevaa T-shirt zilizoandikwa
‘Bring Back Our Girls’ (‘Wasichana wetu warudishwe’) Inakumbukwa kuna wasichana wengi ambao wametekwa nchini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Rais Obama Adondosha Chozi Hadharani Akitetea Hoja

ObamaRais Barack Obama akitokwa. Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani ili kupunguza idadi ya watu wanaoshambuliwa na kuuawa kwa risasi nchini humo. Obama aliwaambia Wamarekani kwamba mageuzi anayoyatete  ni kwa manufaa yao wenyewe kwa kuwa yeye huu ni mwaka wake wa mwisho kukaa madarakani na wala hana mpango wa kugombea tena. Rais Obama anataka watu wote wanaouza silaha washurutishwe kuwapekua na...

 

9 years ago

Mtanzania

Amber Rose adondosha chozi kisa Kanye West

amber-rose-kanye-westLOS ANGELES, MAREKANI

ALIYEKUWA mpenzi wa zamani wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Amber Rose, juzi alidondosha
chozi baada ya kukumbuka maneno ya Kanye West pindi walipokuwa wapenzi.

Februari mwaka huu Kanye West kupitia radio ya Power 105.1 kwenye kipindi cha The Breakfast Club ya nchini Marekani, alisikika akisema kuwa ‘Ni vigumu kuishi na mwanamke kama Amber Rose, hata wanawake wenzake inakuwa ngumu, baada ya kuachana naye nilitumia nusu saa kumfikiria Kim...

 

10 years ago

GPL

KARRUECHE ATOA CHOZI KUMUONA ROYALTY

Mtangazaji ambaye pia ni mwanamitindo, Karrueche Tran. New York, Marekani
MTANGAZAJI ambaye pia ni mwanamitindo, Karrueche Tran juzikati alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuonana uso kwa uso na mtoto wa Chris Brown, Royalty. Mtoto wa Chris Brown, Royalty. Chanzo makini kinafunguka kuwa tangu bi’dada huyo agundue kuwa Chris alimsaliti na kutembea na mwanamke (Nia Guzman-Amey) na… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ugumba Wamtesa Wema, Adondosha Chozi Mara kwa Mara!

Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.

Akizungumza na gazeti la Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani.

Alisema kwamba, amekuwa akishinda akilia kila anapokutana na shosti wake wa sasa, Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.Wema alitiririka...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ADONDOSHA SWIMMING POOL KWENYE JUMBA LAKE TEGETA

Bwawa la kuogelea 'swimming pool' likiendelea kujengwa kwenye mjengo wa Diamond, Tegeta, Dar. Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' anajenga bwawa la kuogelea 'swimming pool' katika nyumba yake anayoendelea kujenga huko Tegeta jijini Dar es Salaam. Kupitia akaunti yake ya Instagram, staa huyo ametupia picha ya swimming pool hiyo inayoendelea kujengwa na kuandika yafuatayo: "Wachina wa nini wakati Watanzania...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YAMRUDISHA KARRUECHE

Staa wa muziki wa Pop, nchini Marekani Christopher Maurice ‘Chris Brown. STAA wa muziki wa Pop, nchini Marekani Christopher Maurice ‘Chris Brown’ hivi karibuni alisherehekea bethidei yake kwa kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Karrueche Tran. Chanzo kinafunguka kuwa Chris alikuwa akitimiza miaka 26 akiwa kama baba wa mtoto mmoja, Royalty ambapo walianza kwa kuongozana na mrembo huyo katika onesho la ngumi kati...

 

10 years ago

GPL

KARRUECHE AMFAGILIA RIHANNA!

Mwanamitindo, Karrueche Tran. New York Marekani
LICHA ya watu wengi kudhani huenda wana bifu kutokana na wote kutoka kimapenzi na staa wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’mwanamitindo, Karrueche Tran amefungua kinywa chake kwa mara ya kwanza na kumfagilia staa mwenzake, Robyn Fenty ‘Rihanna. Staa wa miondoko ya Pop nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna. ’Karrueche alianika hisia zake kwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Karrueche ashangazwa kuimbwa na Chris

karrueche-tran (1)Karrueche Tran.

IKIWA imepita siku tatu tangu staa wa muziki wa Pop, Chris Brown kuachia albamu yake mpya ijulikanayo kama Royalty, mtangazaji maarufu, Karrueche Tran ‘Kae’ ameibuka na kuchukizwa na kitendo cha Chris kumuimba katika Wimbo wa Kae.

Katika wimbo huo wa Kae ambao upo katika albamu hiyo mpya ya Chris, umekuwa gumzo kwa mashabiki kutokana na Kae kuwahi kutoka kimapenzi na Chris.

chris-brown-shooting-at-concert__oPtChris Brown.

Kwa mujibu wa chanzo, Kae amechukizwa sana kuusikia wimbo huo ambao unasemekana kuna...

 

10 years ago

GPL

KARRUECHE, CHRIS BROWN WAFIKA PABAYA!

Mtangazaji na mwanamitindo, Karrueche Tran. New York,Marekani
MTANGAZAJI na mwanamitindo, Karrueche Tran amemchana mpenzi wake wa zamani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ katika mitandao ya kijamii. Karrueche Tran akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Christopher Maurice ‘Chris Brown’.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Karrueche alimfungukia Chris kuwa asimfuatefuate kwani mapenzi yao yalishakwisha tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani