Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Karrueche ashangazwa kuimbwa na Chris

karrueche-tran (1)Karrueche Tran.

IKIWA imepita siku tatu tangu staa wa muziki wa Pop, Chris Brown kuachia albamu yake mpya ijulikanayo kama Royalty, mtangazaji maarufu, Karrueche Tran ‘Kae’ ameibuka na kuchukizwa na kitendo cha Chris kumuimba katika Wimbo wa Kae.

Katika wimbo huo wa Kae ambao upo katika albamu hiyo mpya ya Chris, umekuwa gumzo kwa mashabiki kutokana na Kae kuwahi kutoka kimapenzi na Chris.

chris-brown-shooting-at-concert__oPtChris Brown.

Kwa mujibu wa chanzo, Kae amechukizwa sana kuusikia wimbo huo ambao unasemekana kuna...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KARRUECHE, CHRIS BROWN WAFIKA PABAYA!

Mtangazaji na mwanamitindo, Karrueche Tran. New York,Marekani
MTANGAZAJI na mwanamitindo, Karrueche Tran amemchana mpenzi wake wa zamani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ katika mitandao ya kijamii. Karrueche Tran akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Christopher Maurice ‘Chris Brown’.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Karrueche alimfungukia Chris kuwa asimfuatefuate kwani mapenzi yao yalishakwisha tangu...

 

9 years ago

GPL

MEMPHIS AMKASIRISHA CHRIS BROWN, KISA PENZI LA KARRUECHE

Karrueche Tran na Memphis Depay wakiwa matembezini. Manchester, England
SIKU chache baada ya picha za mwanamitindo wa Marekani, Karrueche Tran na winga wa Manchester United, Memphis Depay kusambazwa wakiwa pamoja jijini Manchester wakifanya ‘shopping’, imebainika kuwa mpenzi wa zamani wa mrembo huyo, Chris Brown amechukizwa na kitendo hicho. Hii ni mara ya pili kwa Memphis na Karrueche kunaswa wakiwa pamoja ambapo...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Memphis Depay aonekana tena na Ex wa Chris Brown, Karrueche Tran

Mchezaji wa Manchester United, Memphis Depay ameonekana kwa mara nyingine akila bata na aliyekuwa mpenzi wa staa wa R&B Chris Brown, Karrueche Tran jijini Manchester. Tetesi za wawili hao kuwa pamoja zilianza baada ya kuanza kuonekana pamoja miezi michache iliyopita nchini Marekani. Wawili hao walionekana tena usiku wa Jumapili wakiwa pamoja wakitoka kwenye club moja […]

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown alitaka mtoto kwa miaka mingi lakini Karrueche alimtosa!

Chris Brown alikuwa akitamani kuwa baba kwa miaka mingi na alijaribu kumshawishi mpenzi wake Karrueche Tran ili amzalie mtoto lakini alimpa sharti hadi amuoe kwanza. Vyanzo vilivyo karibu na mastaa hao vimeiambia TMZ kuwa Chris na Karrueche wamekuwa wakizungumza kuhusu mtoto kwa miaka miwili sasa na mrembo huyo alikuwa tayari kumzalia kama angetimiza matakwa yake. […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

CHRIS BROWN AVOIDED KARRUECHE TRAN ON RED CARPET AT BET AWARDS 2015


Karrueche Tran debuted a surprising — yet stunning! — blonde bombshell look at the 2015 Bet Awards on June 28 . But that didn’t mean she wanted to give her ex, Chris Brown, a chance to see what he’s missing.It was almost unavoidable! Karrueche Tran, 27, could have easily run into Chris Brown, 26, at the BET Awards. While both were in attendance at the big awards show, the former flames steered clear of a an awkward encounter. HollywoodLife.com was on the scene, and has the EXCLUSIVE scoop on...

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani