KARRUECHE AMFAGILIA RIHANNA!
![](http://api.ning.com:80/files/2ZiD2OIPxy55IGWL3LUBjo-AmP5R4gG-8XsBKHdIOGJ9RnMQ1daJT7dij8zW6IN9sBAjVy7W4h2*H3bMQ5vYIx2oUk5tOGoW/KarruecheTran.jpg?width=650)
Mwanamitindo, Karrueche Tran. New York Marekani LICHA ya watu wengi kudhani huenda wana bifu kutokana na wote kutoka kimapenzi na staa wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’mwanamitindo, Karrueche Tran amefungua kinywa chake kwa mara ya kwanza na kumfagilia staa mwenzake, Robyn Fenty ‘Rihanna. Staa wa miondoko ya Pop nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna. ’Karrueche alianika hisia zake kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo502 Aug
Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP7SVns3BiiF8PQ3FJ5LFOrHYpRaRL1DEU3XPVECfWyaPyUYNbAUJG3*8DZC-sMhZI3aXCqZaET4qUMYV92N2l8c/chrisbrown.jpg?width=650)
BETHIDEI YAMRUDISHA KARRUECHE
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Karrueche ashangazwa kuimbwa na Chris
Karrueche Tran.
IKIWA imepita siku tatu tangu staa wa muziki wa Pop, Chris Brown kuachia albamu yake mpya ijulikanayo kama Royalty, mtangazaji maarufu, Karrueche Tran ‘Kae’ ameibuka na kuchukizwa na kitendo cha Chris kumuimba katika Wimbo wa Kae.
Katika wimbo huo wa Kae ambao upo katika albamu hiyo mpya ya Chris, umekuwa gumzo kwa mashabiki kutokana na Kae kuwahi kutoka kimapenzi na Chris.
Chris Brown.
Kwa mujibu wa chanzo, Kae amechukizwa sana kuusikia wimbo huo ambao unasemekana kuna...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
KARRUECHE ADONDOSHA CHOZI NIGERIA
ABUJA, NIGERIA
ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa RnB nchini Marekani Chris Brown, Karrueche Tran, amejikuta akidondosha chozi baada ya kukutana na watoto yatima nchini Nigeria.
Mrembo huyo alikuwa nchini humo kuongoza sherehe za Pool Party mjini Abuja, lakini aliamua kutembelea kwenye
kituo cha watoto yatima cha IDP Camp, ambapo aliwakuta watoto hao wakiwa wamevaa T-shirt zilizoandikwa
‘Bring Back Our Girls’ (‘Wasichana wetu warudishwe’) Inakumbukwa kuna wasichana wengi ambao wametekwa nchini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e*Zl4lsZr*dH5tCG1TWRCYCJO4POAL2yj0F*-fOMsQ8yhtKcf8xGxGtygtjOnPzfIhrs0O4QUgkOJoRHn69AJRY/KarruecheTran.jpg?width=650)
KARRUECHE, CHRIS BROWN WAFIKA PABAYA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuLB5pTNHYR08h1vL7YfYS-FpLVy2JxcexstdTMHLFDpfjPhlK13qyY9i6VXnDgN8dv4zyt85wkaATdvu2PENLL*/karruechetranetxeberriafashionshowinnewyorkcityfebruary2015_1.jpg?width=650)
KARRUECHE ATOA CHOZI KUMUONA ROYALTY
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Barafu amfagilia Riyama
NA SHARIFA MMASI
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Suleiman Said ‘Barafu’, ameamua kumfagilia msanii mwenzake wa tasnia hiyo, Riyama Ally, kwamba ndiye anayeitendea haki kazi yake ya sanaa kutokana na umahiri anaoufanya anapoigiza mambo mbalimbali.
“Napenda sana kazi za Riyama Ally, huyu dada kwanza anajielewa na kutambua kitu anachofanya, hasa awapo mbele ya kamera,” alisema Barafu.
Barafu anasema ipo haja ya waigizaji wa kike kuzifuatilia kazi za msanii huyo ili wajifunze mbinu anazotumia...
9 years ago
Habarileo18 Oct
Pondamali amfagilia Barthez
KOCHA wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amempongeza kipa namba moja wa timu hiyo na timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Ally Mustaph ‘Barthez’ kwa kazi nzuri anayoifanya akiwa kwenye timu hizo.