Barafu amfagilia Riyama
NA SHARIFA MMASI
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Suleiman Said ‘Barafu’, ameamua kumfagilia msanii mwenzake wa tasnia hiyo, Riyama Ally, kwamba ndiye anayeitendea haki kazi yake ya sanaa kutokana na umahiri anaoufanya anapoigiza mambo mbalimbali.
“Napenda sana kazi za Riyama Ally, huyu dada kwanza anajielewa na kutambua kitu anachofanya, hasa awapo mbele ya kamera,” alisema Barafu.
Barafu anasema ipo haja ya waigizaji wa kike kuzifuatilia kazi za msanii huyo ili wajifunze mbinu anazotumia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi06 Jan
Barafu yaanguka katika maeneo ya DMV
![Embedded image permalink](https://pbs.twimg.com/media/B6rCt6nIYAICE3Q.jpg)
Na Abou Shatry DMV
Kama vile matangazo ya hali ya hewa yalivyo tolewa mwazoni mwa wiki hii na National Weather Service, katika maeneo mbali mbali ya hapa DMV kwamba hali ya hewa itazidi kuwa baridi na kutegemea kuanguka theluji ya inches mbili hadi tatu katika maeneo mbali mbali hapa DMV
Theluji hiyo iliotarajiwa kuanguka mapema mapema mida asubuhi 6: AM ya leo Jumanne Jan,6 na kutegemea kusimama kuanguka mida ya 11:AM ya Saa tano mchana .
Aidha maeneo mbali mbali ya barabara kuu...
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Aganda katika barafu akimtafuta mpenziwe
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Barafu: Jamani Sijaenda Momabasa Kuoa
Staa wa Bongo Movies, Barafu Suleiman amezitolea ufafanuzi picha za harusi zilizozagaa mitandaoni ambazo amepiga akiwa Mombasa nchini Kenya zikimuonyesha anafunga ndoa kitendo ambacho kimemletea matatizo kwenye familia yake kwani sio kweli ameoa bali ni kazi mpya wanayoifanya huko Mombasa.
"Samahani ngugu zangu mashabiki zangu kuna picha za harusi zimeenea kwenye mitandao ya kijamii zinanihusu Mimi kuoa.kwakweli sijaowa ni movie tu tunaifanya Mombasa Mimi Riyama na Mzee Chiro na wasanii wa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jun
Barafu: Jamani Sijaenda Mombasa Kuoa
Staa wa Bongo Movies, Barafu Suleiman amezitolea ufafanuzi picha za harusi zilizozagaa mitandaoni ambazo amepiga akiwa Mombasa nchini Kenya zikimuonyesha anafunga ndoa kitendo ambacho kimemletea matatizo kwenye familia yake kwani sio kweli ameoa bali ni kazi mpya wanayoifanya huko Mombasa.
"Samahani ngugu zangu mashabiki zangu kuna picha za harusi zimeenea kwenye mitandao ya kijamii zinanihusu Mimi kuoa.kwakweli sijaowa ni movie tu tunaifanya Mombasa Mimi Riyama na Mzee Chiro na wasanii wa...
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Karibu Sochi kwenye michezo ya barafu
9 years ago
Bongo Movies27 Sep
Barafu:Tunatatafuta Raisi wa Tanazania Sio wa Bongo Movies
Mi naona wenzetu wameamua kuchukua majina ya movie zao ndio waje kutuchanganya nao eti mama ongea na mwanao mala nimestuka eti kibajaji si majina ya movie hayo acheni utani tunatafuta raisi Wa Tanzania sio Wa bongo movie acheni maigizo yenu ila watanzania wameshaamua team mabadiliko 2015
Barafu Suleiman @barafusuleiman on instagram
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz)
Kama kuna vitu vinayakimbiza maisha kwenye kasi ya ajabu, basi teknolojia nayo imo… uliipata ile ya Lexus iliyotengenezwa kwa mabox, ikafungwa mota alafu ikaingia barabarani na kutembea kama gari tulizozoea? Sasahivi nimekutana na hii ambayo jamaa wamekaa zao chimbo kubuni tu kitu tofauti… kilichobuniwa ni matairi yaliyotengenezwa kwa barafu, ubunifu umefanyika London Uingereza na kampuni […]
The post Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz) appeared first...
10 years ago
CloudsFM05 Mar
Haya ndiyo mabonge ya barafu(mawe) yaliyoua watu zaidi ya 42 Kahama,Shinyanga
Haya ndiyo mabonge ya barafu(mawe) yaliyoua watu zaidi ya 42 na wengine 91 kujeruhiwa baada ya kuamkia jana katika kata ya Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
WATU 42 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 91 wamejeruhiwa vibaya baada ya mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha katika Kijiji cha Mwakata, Kata ya Isaka, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga. Pamoja na vifo hivyo, nyumba za makazi na majengo ya taasisi mbalimbali, yamebomolewa na mafuriko yaliyosababishwa mawe...